Tuliowai kupata Supplemental kwenye final exam za UE/IE tukutane hapa

Taarifa za mitihani yote ya msingi, sekondari na vyuo huwa tunasikia leo inaanza tuwaombee. Ila hizi ratiba za supp huwa hatuzisikii na watu hawahiataji maombi. Sasa wote wanaofanya supp ni watakatifu huwa hawahitaji maombi? Na kwa nini inakuwa siri kuliko nyeti?
 
Wewe itakuwa IFM au TIA Business law huwa inakamata wengi sana
 
wale wa UDSM COET sitamsahau Prof Chambega second year ile shule ilijua kuninyoosha hakuna pakushika miti yoote inateleza first year gpa ya 4 second year gpa 2.8 na sup juu nilinyooka aisee....Chambega popote ulipo mzee wa Electrical analysis shkaoooo
 
Sem1 nilifeli Networking

Sikufeli tena hadi namaliza chuo
 

Chambega na mkumbuka sana katika somo lake la DESIGN OF ELECTRICAL MACHINE .....


Maswali mengine nisiulizwe sababu sitajibu.....
 
Humu hapanifai maana naona wote mlisoma uchumi ,,,,,,,Mimi na education yangu napita pembeni
 
kumbe DIT mna haki kuwa hivyo!.. Dogo wangu anasoma hapo telecom techs nilimwambia aache ubishoo!...
Sisi wafanyabiashara kutujazia masomo mengi unataka tugundue kipi kipya!?🙂
 
Kitu aina moja ni KIPINDI CHA MITIHANI YA SUPP sema majina yanatofautiana kwa vyuo!..
Hapo sawa maana mimi nilikosoma sijawahi kusikia hilo jina. Asante sana bro kwa ufafanuzi mzuri.
 
Chuo gani hicho mkuu? CBE ama TEKU? naomba ukitaje nisije nikamruhusu mwanangu kukisoma.
Nachokuonea huruma ni kwamba umemaliza/utamaliza chuo halafu sisi vilaza tutakuajiri kurekebisha mitambo yetu kwa rousse ya kimshahara 'DONGE NONO' ukisahau we will remain your boss!..
ACHA DHARAU!
 
Hahaaaa...kuliwa kubaya!!
 
Mh huu uzi haunihusu , maana hata sijaelewa kinachoongelewa.
Sijui kwa nini nilikula ada[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sijawahi kutana na Commercial Arithmetic nikapona bila ya supp aisee

Naichukia sana hesabu
Mimi kozi ikiwa haina hesabu alafu iwe na essay nilikua napata tabu sana... Hesabu is sweet, cool and fun!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…