Tuliowai kupata Supplemental kwenye final exam za UE/IE tukutane hapa

Ilikuwa first year mambo ya information technology.

Na scenario ni kama yako UE ilituumbua sana nilipata 31. Ndo supp yangu pekee
 
Niliwahi pata sup mara moja nikashindwa kui sapua nikai carry over mwaka wa tatu ndo nikaifuta ... LL 214 wazee wa Linguistics & foreign languages pale mlimani...
 
Bila shaka ulifundishwa na zaharani kisilwa
 
safi sana hope jamaa yetu amepata mke sahihi unamsimamo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…