Tuliozaa nje ya ndoa tukutane hapa, tujadili changamoto tunazokutana nazo

H
Hongera kijana, hao ma single mom wako hata wakiolewa bado huwa hawana uwezo wa kukataa kupasha kiporo na mzazi mwenzao.
Umewatia hasara sana wanaume 6 watakaooa hao single moms maana utawagongea sana.
Tatizo ukiwaambia mimi ni mme wa mtu wanasema hakuna shida; wao walikuwa wanapenda swaga zangu tu ๐Ÿ˜€
 
Katika kitu nilikikataa ni kuzaa nje ya mke wangu, na siji kufanya jambo hilo, kwakuwa haliji bahati mbaya bali unakuwa umelipanga, maana hapo haujatoa sababu maana zaidi ya ulafi kama ulivyosema, na ulafi sio tabia nzuri, hata kwa watoto tunawakataza kuwa tabia nzuri
 
Fafanua point ya kwanza kwenye mafanikio, kivipi ni mafanikio?

Binafsi nilizaa na Mwanamke wa Kibotswana miaka fulani nikiwa huko, watoto mapacha. Sijabahatika kwenda tena zaidi ya kuwasiliana na kutumiwa picha tu..
Ukizaa mbali ni shida ni vigumu kupewa mtoto; kuna prof. fulani sasa hivi amezeeka sana alikaa nje muda mrefu, Ujerumani na USA, akazaa na watu wa huko, muda ulipoisha na Kurudi tz; watoto wakabaki kwa wazungu, huyo mzee katika maongezi alikuwa anasikitisha sana, hana mtoto kwa sasa.

Nb: Wageni ni vigumu kukuachia mtoto​
 
Hongera fisi mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ