Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Tuliozaliwa 1994 hatuamini kilichotokea usiku leo.๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Daaaah!kwamba mmeanza kuingia kwenye 30s
Tena bora uwe ndume.TULIOZALIWA 1994 HATUAMINI KILICHOTOKEA LEO USIKU.๐๐
Now 31 nimelia sanaaa usiku kucha30 si mmeingiza mwaka jana?
Nishakua sponcer๐๐Hahah๐๐
Dogo tunakalibia nusu Karne sasaKwa hiyo mnajiona wakubwa et?
Hawa ndio walikuwa wanasema utakuwaje na miaka 30 huna ghorofร huna gari la 300m huna biashara kubwa kubwa au hujawa CEO au Waziri. Sasa akili zimewakaa sawa. Kuanzia hapa wanakuwa na busara sana. Wanageuka phylosophers.kwamba mmeanza kuingia kwenye 30s
Uchawi upo..Tuliozaliwa 1994 hatuamini kilichotokea usiku leo.๐๐