Tuliozaliwa 1994 hatuamini kilichotokea usiku leo

Hawa ndio walikuwa wanasema utakuwaje na miaka 30 huna ghorofà huna gari la 300m huna biashara kubwa kubwa au hujawa CEO au Waziri. Sasa akili zimewakaa sawa. Kuanzia hapa wanakuwa na busara sana. Wanageuka phylosophers.
Mbona makasiriko tenah 😂 😂
 
Hawa ndio walikuwa wanasema utakuwaje na miaka 30 huna ghorofà huna gari la 300m huna biashara kubwa kubwa au hujawa CEO au Waziri. Sasa akili zimewakaa sawa. Kuanzia hapa wanakuwa na busara sana. Wanageuka phylosophers.
Teh teh teh 😃 😃 noma sana hiki kizazi
 
Hawa ndio walikuwa wanasema utakuwaje na miaka 30 huna ghorofà huna gari la 300m huna biashara kubwa kubwa au hujawa CEO au Waziri. Sasa akili zimewakaa sawa. Kuanzia hapa wanakuwa na busara sana. Wanageuka phylosophers.
Niliwaambia mawazo yao kabla haeajafika 30yrs ni haya
 
Back
Top Bottom