Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
ππππππππππDaaaah!kwamba mmeanza kuingia kwenye 30s
Tena bora uwe ndume.TULIOZALIWA 1994 HATUAMINI KILICHOTOKEA LEO USIKU.ππ
Now 31 nimelia sanaaa usiku kucha30 si mmeingiza mwaka jana?
Nishakua sponcerππHahahππ
Dogo tunakalibia nusu Karne sasaKwa hiyo mnajiona wakubwa et?
Hawa ndio walikuwa wanasema utakuwaje na miaka 30 huna ghorofΓ huna gari la 300m huna biashara kubwa kubwa au hujawa CEO au Waziri. Sasa akili zimewakaa sawa. Kuanzia hapa wanakuwa na busara sana. Wanageuka phylosophers.kwamba mmeanza kuingia kwenye 30s
Uchawi upo..Tuliozaliwa 1994 hatuamini kilichotokea usiku leo.ππ