Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

kukaza vyuma hakuna uhusiano na kuoa...huko ni kutafuta kichaka tu cha kujificha...
ila acha kupanick muda bado, sio mbaya kama ni me ukio na 30's....ila kama ni ke ndo jua linazama hivyo!
Mkuu mbona umeniquote mimi?! Mimi nalea wajukuu zangu mkuu.
 
Mimi nimezaliwa 2003 je naruhusiwa kuchangia huu uzi?
 
NAKUMBUSHA TU
Mwaka - Umri
1989 29
1990 28
1991 27
1992 26
1993 25
Sasa wewe endelea kujiona bado mdogo..
Utakumbuka shuka wakati kumeshakucha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…