Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Wakuu wa 90's hali ikoje huko kwako?
Hivi muda bado au ndo tumechelewa?[emoji23][emoji23]

Mana Jiwe anazidi kaza nati, kuna kuoa/ kuolewa kweli awahi hii?[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Au tusubiri amalize miama yake 10?

Khaaaah!!!
Kukumbushia tu, ALIYEZALIWA 1999 MWEZI WA TANO TAREHE KAMA YA LEO, YUKO TAYARI KWA MATUMIZI, KISHERIA hautakuwa matatizoni. Sasa wewe uliza wa 1990s kama umechelewa au umewahi.
 
HATUJACHELEWA,ila 2020 inabidi nifanye mambo
 
Si mtu mzima?? Sasa tatizo nini?? Najua 99 inaonekana jana tu ila ndio hivyo! Mimi nina mdogo wangu wa late 90, kwangu namuona bado dogo sana maana nimembeba beba sana ila ndio! Nakereka sana.
Wa 90 -97 hakuna tatizo ila huyo wa 99 hapana ,ndomana mabinti wameharibika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…