Aloo! nilitaka niunge telaMuda mrefu
Tunatoa ushauri!Hapa tumeitwa wa 90s ila nashangaa wazee mmejazana kwenye Uzi wetu.
Wala usiogope, namba hazidanganyi kama kioo vile!Unatutisha lol..
Wtf...! Dogo amkia kwanza!
Hao ndio wajuzi kuzidi hata wahenga, ukizamisha Coca-Cola hadi mayai mawili yanakaribia kuzama! We bakia eti "mdogo wangu wa 99"!Aisee me nikikukuta Unatoka na mdogo wangu wa 99 utanitambua hata kama sheria inaruhusu..
... tandika mkeka tucheze karata....
99 kitu gani wakati wa 2000 ana mume na mtotoKukumbushia tu, ALIYEZALIWA 1999 MWEZI WA TANO TAREHE KAMA YA LEO, YUKO TAYARI KWA MATUMIZI, KISHERIA hautakuwa matatizoni. Sasa wewe uliza wa 1990s kama umechelewa au umewahi.
Kisheria bado mtoto huyo.99 kitu gani wakati wa 2000 ana mume na mtoto
Umefata nn JF wkt huku ni watu wazima?Mie wa 98 sina presha kabisa
Jaman jamani kwahiyo watu wa 90s ni watoto?..duuhHadi wewe mtoa mada wa 90s?basi jf ina watoto wengi.
Kwa jf ni watoto maana humu tupo na babu zetu.Jaman jamani kwahiyo watu wa 90s ni watoto?..duuh
Wengine tupo kunyapia nyapia watoto kabla hawajaharibiwa.Kwa jf ni watoto maana humu tupo na babu zetu.
Mnaanza kuwaharibu wakiwa na miaka 13 alafu mnategemea wenye 20s wawe salama ? Thubutu.Wengine tupo kunyapia nyapia watoto kabla hawajaharibiwa.
Mimi huwa na deal na wale waliofikia legal age.Mnaanza kuwaharibu wakiwa na miaka 13 alafu mnategemea wenye 20s wawe salama ? Thubutu.
Umezaliwa lin mtoto mzuri ?Jaman jamani kwahiyo watu wa 90s ni watoto?..duuh