holy holm
JF-Expert Member
- May 6, 2017
- 4,793
- 9,101
Heshima kwenu wana jf
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa walio zaliwa mwezi bora na mzuri kuliko miezi yote mwezi wenye bahati katika maisha, mwezi maalum kwa watu wasio na makuu na watu,mwezi wa tisa (SEPTEMBER) Njooni tutambuaneni hapa.
If your born in september please njoo tusemezane najua tuko wengi