asubuhi sana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 1,667
- 1,411
December tukutane PM
Fursa2017
Fursa2017
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
10/SeptemberHeshima kwenu wana jf
niende moja kwa moja kwenye mada.kwa walio zaliwa mwezi bora na mzuri kuliko miezi yote mwezi wenye bahati katika maisha,mwezi maalum kwa watu wasio na makuu na watu,mwezi wa tisa (SEPTEMBER) Njooni tutambuaneni hapa.
If your born in september please njoo tusemezane najua tuko wengi
Duh nami ndo tarehe yangu mkuu25SEPTEMBER
Hii kitu nakubaliana kabisa na wewe. The same here 29th September29th Sep ni kweli tu watu wa watu
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Tualikane kwenye birthday mkiuDuh nami ndo tarehe yangu mkuu
Au tukafungue wa kwetu eti eeeh