Tuliozaliwa Mwezi September uzi wetu huu special

Tuliozaliwa Mwezi September uzi wetu huu special

Heshima kwenu wana jf

niende moja kwa moja kwenye mada.kwa walio zaliwa mwezi bora na mzuri kuliko miezi yote mwezi wenye bahati katika maisha,mwezi maalum kwa watu wasio na makuu na watu,mwezi wa tisa (SEPTEMBER) Njooni tutambuaneni hapa.
If your born in september please njoo tusemezane najua tuko wengi
September 23🎂🎂🎂
 
Dokta haonekani siku hizi umekua vigilante sana au katoto kanabana sana majukumu?
Sanaaaa, kua mama sio jambo dogo aisee muda wangu wote dogo anauchukua, lakini pia hii app mpya ya jf inanikata maini kabisa 😧
 
Back
Top Bottom