Tuliozaliwa Mwezi September uzi wetu huu special

Tuliozaliwa Mwezi September uzi wetu huu special

Septemba ni mwezi wa Majanga, Majanga yanayoleta maafa na hasara ya Dunia yote. Matukio mengi ya kutisha Duniani ndio mwezi wake.

Anyway hivi wale Mliozaliwa Septemba ndio Mimba za Xmas na New year Dating. Tafiti zinawakataa kwamba nyinyi mara nyingi mmepatikana kwa bahati mbaya watu wakiwa wanakulana kimasikhara kwenye bata za mwisho wa Mwaka. Wengine wakiwa wamebakwa, wamelewa, kimasikhara nk.
Am kidding wazee Mimi nawapenda sana Happy Birthday to you all pamoja sana.
 
Back
Top Bottom