Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

Hii habari hii hapa.
Unaweza kuishaji YouTube. Robots kiiled 29 lab technicians View attachment 2592846
Ahahahaaa πŸ˜„πŸ˜‚πŸ˜†, nimecheka mimi.

Kama umepitia uzi pale mwanzo, chini nimeshare link ya sinema flani inaitwa Detroit Become Human ndicho hicho unachozunguma hapo.
 
Nasevu niijie wakati mwingine
 
Naomba nikuulize hivi mpaka sasa unahisi wewe kama wewe umetumia hata nusu ya uwezo wako kufiki katika kitatua changamoto zako?
Kuhisi sio kipimo cha uhalisia, unapoweka namba mfano 30% au 50% inamaanisha kwamba kuna kipimo kinatumika kupata hizi namba na sio hisia tena
 
Kuhisi sio kipimo cha uhalisia, unapoweka namba mfano 30% au 50% inamaanisha kwamba kuna kipimo kinatumika kupata hizi namba na sio hisia tena
Hakuna kipimo maalumu chakuweza kujua uwezo wako na watu wengine

Chukulia mfano anayepata Division 1 ya 7 na yule aliyepata Division 0. Kwenye matumizi ya uwezo wao kufikiri nan unahisi atakuwa ametumia ijapo sehemu ya akili yake katika kufanikisha lengo lake zaidi
 
Huwezi kutumia mtihani kama kipimo cha matumizi ya akili, mtihani unapima ni kwa kiasi gani unaweza kukumbuka na kujibu vile ulivyosoma, kwa hyo unaweza kuwa na matokeo mazuri lakini ukazidiwa uwezo wa kufikiri na mtu aliye na matokeo chini yako.

Unaposema kwamba mtu katumia asilimia fulani ya ubongo wake ina maana unalinganisha uwezo wake aliotumia kufanya kitu husika na uwezo wake wa mwisho kabisa wa ubongo wake, sidhani kama kuna kipimo kama hiki kwa ajili ya kupima ubongo, kama kipo nitashukuru ukinielimisha
 
The ultimate goal ya AI ni kutengeneza kompyuta yenye uwezo wa kukua yenyewe kiakili mithili ya ambavyo binadamu huwa nakua kiakili kuanzia utotoni! Hii ndiyo challenge kubwa ambayo wataalamu wa AI wanaendelea kuifanyia kazi
 
Ikifikia hatua hiyo nadhani itakuwa kipindi naweza sema hali ya juu sana inayokaribiana na ujenzi wa mnara wa baberi.
 
Ikifikia hatua hiyo nadhani itakuwa kipindi naweza sema hali ya juu sana inayokaribiana na ujenzi wa mnara wa baberi.
Hapana. Teknoloji yetu bado ni ndogo mno ukilinganisha na vizazi vilixyoawahi kuishi kabla ya sisi. Huko Babeli kwa sasa hivi kuna jiwe limegunduliwa, limechongwa kama tofali na lina tani 1600; jiwe ambalo ni kubwa kuliko mawe yote yaliyochongwa yailiyopo duniani kwa sasa
The fact kwamba hatuwezi hata kule kujua tu kuwa hawa wenzetu walikuwa wanafanya fanyaje, bado inatufanya tuonekane kuwa teknoloji yetu si chochote. Ukilinganisha na hao wenzetu,; sisi tunachofanya sasa hivi ni kama mtoto kuchezea tope akiwa anajaribu kufinyanga kitu kinachofana na viatu vya baba yake
 
Umesema hapana, inaonyesha hukunielewa nilichoandika.

Nakushauri rudia kusoma reply kwenye ile komenti yako kabla ile ya juu!.
 
Umesema hapana, inaonyesha hukunielewa nilichoandika.

Nakushauri rudia kusoma reply kwenye ile komenti yako kabla ile ya juu!.
Nimesema hapana nikiwa namaansha na kwa uhakika.
Jiwe lilichongwa kama tofali lenye tani 1600; unaweza ukasema ni teknolojia gani ilitumika?

Sisi hatuna teknoloji yoyote ukilinganisha na hao watu waliwahi kufanya maajabu hayo
Angalia documentary hiyo hapo chini

Promo sasa hii mbona kuna kijana wa kitanzania anatengeneza solar. Endelea kushangaa vya wazungu.
Ulishaangalia ile promo au umeogopa?.

Nataka mjadala huru na siyo kengere isiyosikika mkuu!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…