Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Tech inaweza kujitengeneza pasipo binadamu?Siku moja Teknolojia itamzidi akili binadamu...
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tech inaweza kujitengeneza pasipo binadamu?Siku moja Teknolojia itamzidi akili binadamu...
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Mkuu kitu serious kama kipi? Ungewekanwazi hapo ili tupate mifano mujarab.Sijui kwanini akili yangu inaniambia kuwa AI will always be for funny. Sijui kwanini siamini mtu akitaka kufanya kitu serious atafikiria kifanywe na mtu sio AI. Sijui kwanini.
Binadamu anatengeneza vitu za hatari sana, AI mwisho wake hautakuwa mzuriNimepita you tube. Wiki hii nilikutana na story moja sema nimeshau title nitaifuta niweke hapa.
Ile habari kuna mama mmoja anatoa habari kama vile mble ya kamati au press jinsi maroboti yalivyoweza kula njama na kuua wafanyakazi 8.
Hali ilivyokuwa hivyo ikabidi watu wayashambulie maroboti kwa silaha kama bunduki na kuya shut down. Cha ajabu Roboti mmoja akiwa amejeruhiwa alikutwa amehack mfumo ktk satelaiti na anauliza internet jinsi ya kujifanyia repair. Nafkiri ilikuwa Japan. Ngoja nitafute ile habari you tube
Hii habari hii hapa.Nimepita you tube. Wiki hii nilikutana na story moja sema nimeshau title nitaifuta niweke hapa.
Ile habari kuna mama mmoja anatoa habari kama vile mble ya kamati au press jinsi maroboti yalivyoweza kula njama na kuua wafanyakazi 8.
Hali ilivyokuwa hivyo ikabidi watu wayashambulie maroboti kwa silaha kama bunduki na kuya shut down. Cha ajabu Roboti mmoja akiwa amejeruhiwa alikutwa amehack mfumo ktk satelaiti na anauliza internet jinsi ya kujifanyia repair. Nafkiri ilikuwa Japan. Ngoja nitafute ile habari you tube
Mwenyeezi Mungu aliweka CPU of Intelligence na akajaza mavitu mengi sana pale, kuna watu wanatumia let say 30% ya kile alichopandikiza Mola ila ni bado sana kufikia 51% ya CPUI.AI bado inaonyesha ni jinsi gani binadamu alivyo na uwezo mkubwa wakufikiri ijapokuwa hajatumia hata nusu ya uwezo wake katika kufikiri
Sijakupata hapa, kwa nini unasema binadamu hajatumia hata nusu ya uwezo wake?AI bado inaonyesha ni jinsi gani binadamu alivyo na uwezo mkubwa wakufikiri ijapokuwa hajatumia hata nusu ya uwezo wake katika kufikiri
Kwa hyo kitu chochote anachoshindwa mtu fulani basi hakiwezekani kwa kila mtu?, nakubali siri zitakuwepo kulinda teknolojia husika lakini naona hapa kama unataka kuleta mada ya nguvu za gizaKwahiyo unafikiri kwamba hao wazungu wanatumia uwezo wa akili zao kufikiri? Mbona sisi Waafrika tumeshindwa? C'mon dude hao watu wana siri zao.
Mbona video inasema kwamba inawezekana ni taarifa feki?Hii habari hii hapa.
Unaweza kuishaji YouTube. Robots kiiled 29 lab technicians View attachment 2592846