Promo sasa hii mbona kuna kijana wa kitanzania anatengeneza solar. Endelea kushangaa vya wazungu.
Sema ana assemble solar.Thin film technology sio ya kitoto.
Silicon base technology
you need very softcated machines.
If you jave that capacity to make solar you can even move one step to wafer and then chip/semiconductor devices
Hata ulaya sio nchi zote zimeweza kwenda hio hatua. Wahindi na akili zao bado hawajaweza.
UK, Nedherkand, US, Japan Korea Kusini,Taiwan China ndio wenye ujuzi wa hizi technolojia.
Assembling solar cells is not a big deal.
Is like assembling a car.
The big deal in car is ability to design make and manufacture in mass production using modern softcated technology kama robots nk.
Waafrika tunspapasa teknolojia hatujaamua kuingia ndani na kuibua wanachofanya wengine.
Siku nikiona vijana wamejitumbukiza kwenye mambo haya basi nitaamini tumepata suluhisho
1.Engine design. Hapa kila aina ya engine
Kwa nini. Kila chombo kinachotenbea kinatumia engine.
2.State of the art.
Kwa nini? Hii ndio chimbuko la teknolojia zote za kisasa, kuanzia viwanda,kilimo,afya nk.
Kwa ufupi semiconductor ndio kila kitu, na ndio maana nchi kama China wanataka wajitosheleze waepukane na vikwazo vya wazungu.
3.Machinery.
Machines which make machine mfano cnc, printer nk.
4.Medicine.
5.Software. hapa nazungumzia software sio vi app vya kupiga picha au kupanga nyimbo. Kwa muda mfupi wachina waliwekewa vikwazo na google wakaja na Harmony. Hivi sisi tukifungiwa na wazungu kutumia software zao tutafanyaje? Hebu tuwe serious Warusi wamefungiwa mfumo wa fedha wameunda wakwao sisi je.
6.Nano scale tech
7.AI
9.Quantum computer.
10.Militaty technology.
Vijana wajitoe waaanzishe kampuni za hizo sekta vinginevyo tutasubiri sana ba kujifariji huku tukiachwa mbali.
Vijana waache habari kampuni za kutoa services ambazo ndio kimbilio la wengi kwa sababu ni rahisi kuziendesha.
Tuende kwenye innovstion driven vompany. We must have big dream.