Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja.

Kwa mfano katika muundo unaokimbia sasa hivi ni Artificial Intelligence (AI) inaweza kufanya kitu unachowaza au kubuni kitu zaidi hata kuliko mtu aliyekaa kwenye kiti akiwa na computer akijenga picha na kuipa nakshi.

AI inaweza kukufanyia hiyo kazi kwa muda mfupi na kwa ubora mkubwa kuliko wako.

Kwanza angalia hizi picha hapa 👇🏾 ni kazi ya AI na ahkuna mkono wa mtu hapo.
View attachment 2580010

View attachment 2580013

Mpaka hapo nikawakumbuka jamaa zangu wapiga picha akiwepo jamaa yangu mmoja yupo Dodoma, kwamba itakuwaje kwa hali hii kama hatajiongeza kufikilia kuwa mkulima'?.

View attachment 2580018

View attachment 2580022
Kumbuka kila siku kabla jua alijachomoza kuna ujuzi mpya, wakati sisi tunafikilia kuomba msaada wa kujenga choo, wenzetu wanatumia AI aweze kufanya ujenzi wa tunnel la kuhifazia uchafu wako.

View attachment 2580030

Nilimaliziavkwa kusoma moja ya komenti ya mdau pale kwenye space akiuliza...
View attachment 2580044

Wataalam wetu sijui wako wapi? naishia hapa ila naiwaza kesho.

==============

Wakuu naongezea na hii sinema, ukiweza kuangalia hadi mwisho utaelewa, nimeiweka hapa kutokana na maswali kutoka kwa wadau.

Game hilo na walilitoa kipindi kile corona inaanza hivi,,,,,, jamaa wanajua wanachofanya unaweza sema mambo yametokea kimakosa ila sio
 
Game hilo na walilitoa kipindi kile corona inaanza hivi,,,,,, jamaa wanajua wanachofanya unaweza sema mambo yametokea kimakosa ila sio
Yes mkuu, kuna wakati nilikutana na topic moja jamaa wakiongelea jinsi ambavyo mtu anaweza kumpatia ke' ujauzito wakiwa maeneo tofauti, pasipo kutuma mbegu.
 
Imzidi akili binadamu kivip wakati hiyo teknolojia yenyewe imetengenezwa na binadamu.Anayeongezeka maarifa ni binadamu sio vitu vilivyotengenezwa na binadamu.
Unajua shida ilipo mkuu!!!? Hiyo AI kama ingetengenezwa na mtu mmoja, ni sahihi isingeweza kumshinda akili binadamu mwingine, na bahati mbaya pia haitumiwi na mtu mmoja, upo mpaka hapo!!? Bahati mbaya nyingine kwa AI kadiri unavyo itumia/kutumiwa ndivyo inavyo zidi kupata data na kuexperience vitu vipya ( inajifunza kama ubongo wa binadamu mchanga na inaendelea kukua yenyewe ) hivyo sio mtu mmoja anayo itumia! Bahati mbaya nyingine unapo iuliza kitu ikawa haina majibu, usifikiri itaishia hapo kuto kujua! Itachukua swali lako na kulihifadhi na itakuuliza uisaidie kuifahamisha kitu ulicho uliza kina uhusiano na kitu gani kwa mfanano, au itauliza tena mtu mwingine kama akiulizwa swali litakalo endana na swali ulilouliza awali!

Hivyo technology kutuzidi binadamu akili inawezekana kabisa kwasababu ni akili za watu wengi zinaelekezwa kwenye mfumo mmoja amabao ukija kuutumia wewe mmoja lazima ukuzidi akili

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu kama hicho bana.yaani kumputer iliyotengenezwa na binadamu imzidi mtengenezaji akili.hivyo vitu vyote unavyoviona nakukushangaza ni binadamu ndiye aliyevifikiria akavitegeneza nakuviweka humo.Nakamwe hakuna kitakachoweza kufikiria na kutenda nje ya vile kilivyotengenezwa.Hayo ni maprogram tu yanayotengenezwa na binadam wala usiumize sana kichwa.
 
Sipingani na ulicho andika

Rudia tena kusoma nilicho andika badala ya kukaza fuvu[emoji88][emoji88][emoji3517] mkuu!

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Imzidi akili binadamu kivip wakati hiyo teknolojia yenyewe imetengenezwa na binadamu.Anayeongezeka maarifa ni binadamu sio vitu vilivyotengenezwa na binadamu.
Facebook walitengeneza robots zao mbili lakin walilazimika kuzizima baada ya kuwazidi akili kwa kubuni lugha yao ambayo hakuna binadamu aliyeweza kuitambua zaidi Yao tu (robots)
 
Facebook walitengeneza robots zao mbili lakin walilazimika kuzizima baada ya kuwazidi akili kwa kubuni lugha yao ambayo hakuna binadamu aliyeweza kuitambua zaidi Yao tu (robots)
Umeona kasheshe hilo! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mkuu kama hutojali tupe story kidogo kuhusu hilo saga! Napenda sana kusikia habari za namna hii! Embu fanya hivyo

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Tunu ya upekee aliotupa mwenyezi Mungu ni uwezo wa akili.
Akili ya binadamu inakua kila siku, inajifunza kila siku, ina buni na kuunda muundo wowote kila siku.

Yote ya yote ni kumuwezesha binadamu kuyaweza mazingira katika uso wa dunia, iwe rahisi na iwe furaha kuishi kwenye dunia hii.
 
Kuna nyuklia huko, ina nguvu ya maangamizi ambayo binadamu hakutegemea kama asingeweza kudhibiti madhara yake, hata baada ya mlipuko, tena kwa miaka miiiiiiiiiiiingi sana! Achilia mbali hili wanalo liunda sasa

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Computer ndio Siri iliyo nyuma ya haya

Dunia inaenda kutawaliwa na marobot

Mfano mzuri Siri na Alexa hizo ni AI moja Google na moja Apple

Achia mbali hizo kuna AI la Microsoft na FB kwamba ukifa a/c yako itaendelea kufanya kazi ni robot lako sio wewe marehemu Ila litatumia picha yako na details zako zote

Utafika wakati marobot yataenda kuitawala dunia emu uwe unazingalia zile movie za Si-fi zinazohusu masuala ya AI

Anza na Terminator 3: Rise of the Mashines (2003) Starring Arnold Schwarzenegger, Nick Stahl, Claire Danes, and Kristanna Loken

View attachment 2580422

AI ni Jambo zuri sana lakini katika kila kizuri kuna faida na hasara zake, AI ni mfumo wa computer na unatengenezwa na mwanadamu ili uweze kujiendesha wenyewe bila kumtegemea mwanadamu na hufanyiwa updates na mwanadamu kila baada ya mda, AI ikijifunza inaweza kujifanyia updates yenyewe Ila kibaya ni pale mfumo unapopata attack ya namna yoyote mfano virus akimuingia basi mfumo unaweza kufanya kinyume na kile kilichokusudiwa, ukiangalia hio movie ya Terminator 3: Rise of the Mashines utakua umeelewa nazungumzia nini

Tafuta movie inaitwa Prometheus (2012) kwenye hii movie kuna robot AI linaitwa David sasa huyu David alichokifanya humo ndio utajua kua AI Ina faida pia Ina hasara

View attachment 2580443
Huyu ndio David (robot AI)

David kwenye hio movie na huyo Creator wake (alikua anamuita father) walienda kwenye Sayari nyingine kwa kigezo kwamba wanaenda kumtafuta alieumba wanadamu yaan MUNGU, yaan Creator wa David aliamini kwamba MUNGU yupo huko waende wakamuone

View attachment 2580417

Huko walipofika wakakutana na viumbe wa ajabu, huku na huku wote wakafa akabakia David tu ambae ni robot

David alipobaki akaanza kuumba viumbe kwa kutumia viumbe vya ajabu akichanganya na mabaki ya wanadamu yakatokea ma alien

View attachment 2580419

Muendelezo ulikua kwenye Alien: Covenant (2017) humu wanasayansi wengine wanaenda tena kwenye hio Sayari wakiwa na David (robot AI) mwingine ambae yupo more modified kuliko yule wa zamani yaan yupo updated si unajua kuhus Android kila baada ya mda inafanyiwa updates Ila yule David ambae alienda mwanzo hakufanyiwa updates zozote sababu alikua anaishi mwenyewe

View attachment 2580420

Basi walipofika wale David wawili wakaonana ni wanafanana Ila wote ni robots (AI) Ila yule aliefanyiwa updates ana akili kumzidi yule alietangulia, basi yule David wa mwanzo alietengeneza ma-aliens akaanza kuwashambulia wale waliokuja kimya kimya wakaanza kuuwawa

View attachment 2580421

Kumbe alikua anafanya research yaan robot linafanya research kuhusu mwanadamu, na lilikua na mkakati wa kutengeneza viumbe vipya na wanadamu wote wafyekelewe mbali mara watu wakaanza kufa baadae wakamshtukia kua huyu David wa zamani sio mzuri ngumi zikazuka kati David wa zamani na David mpya wakazipiga Ila David wa zamani alikua na technique mpya alizojibunia mwenyewe akamshinda David mpya Ila hakumuua (robot hafi labda afanye self destruct)

Baada ya hapo akaanza kuwafukuzia wale waliokuja ili awafanyanyie mbaya

Muendelezo wa Alien: Covenant (2017) ulikua ni Alien: Awakening (2019) Ila haikutoka mpaka leo haijaendelezwa ingawa ukifuatilia inaonekana ilishatengenezwa sababu za kutokutoka ni msigishano wa maudhui ya movie na watu wa dunia maana hio Alien: Awakening (2019) David alikua amechukua chombo akiwa na viumbe wa ajabu (aliens) anakuja Duniani kuiangamiza Dunia yote

AI ni nzuri Ila Ina faida na hasara zake robot lilikubadirikia au robot likichezesha viumbe vingine viingiliane na mfumo wa mwanadamu hapo kinazuka kiumbe Cha ajabu,

Naweka karamu chini...

AI inamtegemea binadamu kwa asilimia 100

AI inauweza mkubwa wa kufanya vitu ilivyolishwa kwa haraka na uhakika kuliko binaadamu.... LAKINI haitakaa itokee AI ikatawala dunia kwa kufanya itakavyo NEVER
 
LAKINI haitakaa itokee AI ikatawala dunia kwa kufanya itakavyo NEVER
Ina ukomo wa kuchota na kupokea taarifa inafanyia kazi taarifa ilizopewa tu, Ila pia Ina uwezo wa kusoma na kujifunza kupitia data inazopokea ingawa kuendana na muda na wakati inaweza kuleta mkanganyiko wa data km isipofanyiwa updates zozote za data kwa hio binadamu ambae amepandikiza akili bandia hio inabidi awe nyuma wa mfumo kuongeza na kupunguza data, jaribu kuangalia movie inaitwa Resident Evil kuna kitu utajifunza
 
Unajua shida ilipo mkuu!!!? Hiyo AI kama ingetengenezwa na mtu mmoja, ni sahihi isingeweza kumshinda akili binadamu mwingine, na bahati mbaya pia haitumiwi na mtu mmoja, upo mpaka hapo!!? Bahati mbaya nyingine kwa AI kadiri unavyo itumia/kutumiwa ndivyo inavyo zidi kupata data na kuexperience vitu vipya ( inajifunza kama ubongo wa binadamu mchanga na inaendelea kukua yenyewe ) hivyo sio mtu mmoja anayo itumia! Bahati mbaya nyingine unapo iuliza kitu ikawa haina majibu, usifikiri itaishia hapo kuto kujua! Itachukua swali lako na kulihifadhi na itakuuliza uisaidie kuifahamisha kitu ulicho uliza kina uhusiano na kitu gani kwa mfanano, au itauliza tena mtu mwingine kama akiulizwa swali litakalo endana na swali ulilouliza awali!

Hivyo technology kutuzidi binadamu akili inawezekana kabisa kwasababu ni akili za watu wengi zinaelekezwa kwenye mfumo mmoja amabao ukija kuutumia wewe mmoja lazima ukuzidi akili

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app

Aiseee

Kwa AI imzidi akili binadamu?

AI ina limit kubwa sana ya vitu inavyoweza “kujifunza”
Akili ya binadamu haina ukomo wa kujifunza

AI inategemea kwa asilimia 100 AKILI za binadamu na inafanya yake tu Akili ya binadamu imeilisha kufanya..

AI inatoa tu kile ilicholishwa kwa UFASAHA na HARAKA kuliko akili ya binadamu

Akili ya binaadamu inaongozwa vitu kama utashi na hisia, vitu ambavyo AI haina
 
Ina ukomo wa kuchota na kupokea taarifa inafanyia kazi taarifa ilizopewa tu, Ila pia Ina uwezo wa kusoma na kujifunza kupitia data inazopokea ingawa kuendana na muda na wakati inaweza kuleta mkanganyiko wa data km isipofanyiwa updates zozote za data kwa hio binadamu ambae amepandikiza akili bandia hio inabidi awe nyuma wa mfumo kuongeza na kupunguza data, jaribu kuangalia movie inaitwa Resident Evil kuna kitu utajifunza

Mkuu ukitaka kuingia chaka zaidi basi angalia hizo movies
Humo kumejaa theories

Akili ya binadamu inaongozwa na vitu kama utashi na hisia kitu ambacho AI haina kabisa(achana na uongo wa kwenye movies)

AI inafanya tu kile akili ya binadamu imeifanya ifanye...... sio nje ya hapo

Dhana ya AI “inajifunza” mambo mapya hizo ni hadithi zilizo kuzwa kuliko uhalisia mkuu, yaani mtu anaweza kudhani labda AI anaweza kukuona unaogelea au kuendesha baskeli na ikajifunza....... NEVER

Kujifunza kwake kwa mfano mdogo sana ni kama simu yako unavyo type maneno fulani kila mara basi ukianza tu kutaype inakuletea suggestion ya maneno unayotaka kuandika

Na ukumbuke haya maroboti hakuna linalo tengenezwa kufanya kila kitu kama akili ya binadamu inaweza kufanya, yanatengenezwa tofauti kulingana na aina ya kitu inatakiwa kufanya
 
Aiseee

Kwa AI imzidi akili binadamu?

AI ina limit kubwa sana ya vitu inavyoweza “kujifunza”
Akili ya binadamu haina ukomo wa kujifunza

AI inategemea kwa asilimia 100 AKILI za binadamu na inafanya yake tu Akili ya binadamu imeilisha kufanya..

AI inatoa tu kile ilicholishwa kwa UFASAHA na HARAKA kuliko akili ya binadamu

Akili ya binaadamu inaongozwa vitu kama utashi na hisia, vitu ambavyo AI haina
Soma kwa kutulia! Hayo yote yanafahamika! Chukua muda wa kurudia tena kusoma kwa utulivu

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Ok
Basi vitukuu wa vitukuu wetu watakuja kutawali na maroboti naona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa haiongelewi robot mkuu, ndio maana mna kanganya mada! Yaani robot ni kifaa kama hiyo simu yako tu, hivyo hatupo kabisa kwenye robot

Labda ukitaka kuelewa vzr rudia kusoma kichwa cha habari, soma mleta mada kaandika nini, soma hizo comments zangu vizuri, ila kichwani mwako huyo roboti unae muwaza mtoe, pengine ndio utaelewa

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom