stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Umewahi kutengeneza AI hata moja ya kwako wewe km wewe? Nisije nikawa nabishana au najenga hoja na mtu alieishia kusoma kwenye makaratasi tuAI inafanya tu kile akili ya binadamu imeifanya ifanye...... sio nje ya hapo
Nimewahi kutengeneza AI ya kwangu mimi km mimi kwa hio naelewa ninachokwambia issue ya movies na theories nimekupa km mfano wa kujifunza si kwamba ndio inakupa kila kitu Ila utapata uelewa AI ni nini? Nazungumzia kwa mtu ambae aelewi kuhusu AI
Turudi kwako umewahi tengeneza AI na ilikua inahusu nini na ulifika wapi katika ubunifu wako wa AI?