Tulipofika sasa huko kwenye MASSAGE na SPA centres..

Vile wadada wa saluni huwaonaga
1690008069678.png
 
Pale ni saluni na nilishanyoa.

Sasa hayo mengineyo si ndio kumkaribisha shetani aisee.

Mawazo yangu, unaweza fanya scrab, mimi nakaa mjini kabisa Dar, na saloon zangu ni Sinza, nasema, sijawahi lazimishwa au ku experience mazingira yeyote yanayonishairia shinikizo la ngono, labda nyie ma handsome sana siwezi kujua, au mnajiendekeza na kupenda hayo mambo.

Ukiwa serious kunyoa, kusafishwa na kwenda, hayo hayawezi tokea, labda uwe unauliza uliza maswalli kwa sababu zako. Ukiheshimu watu na wao watakushehimua pia.
 
Kinachofanyika na hao kina dada ni kukuteka tu kingono.

Usipokua makini utajikuta umeshaharibu.

Wanalegeza vifungo wanakupapasa hadi macho yanakua mekundu.
 
Mi huwa nanyoa naondoka , ata scrub sifanyagi, ukipigwa na jua ngozi inababuka.
 
Kinachofanyika na hao kina dada ni kukuteka tu kingono.

Usipokua makini utajikuta umeshaharibu.

Wanalegeza vifungo wanakupapasa hadi macho yanakua mekundu.
🤣🤣🤣

Kimbia mkuu....
 
Back
Top Bottom