Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni madanguro ya kisasa sio massage parlours kama wanavyotaka kutuaminishaView attachment 2695861
I'm speechless
Kuna salon nilienda kunyoa wale wadada wanaoosha wateja akaniuliza kuna huduma nyingine yeyote ile unataka nikupatie??
Pale ni saluni na nilishanyoa.Ni sawa wewe si mteja
Pale ni saluni na nilishanyoa.
Sasa hayo mengineyo si ndio kumkaribisha shetani aisee.
View attachment 2695861
I'm speechless
Kinachofanyika na hao kina dada ni kukuteka tu kingono.Mawazo yangu, unaweza fanya scrab, mimi nakaa mjini kabisa Dar, na saloon zangu ni Sinza, nasema, sijawahi lazimishwa au ku experience mazingira yeyote yanayonishairia shinikizo la ngono, labda nyie ma handsome sana siwezi kujua, au mnajiendekeza na kupenda hayo mambo.
Ukiwa serious kunyoa, kusafishwa na kwenda, hayo hayawezi tokea, labda uwe unauliza uliza maswalli kwa sababu zako. Ukiheshimu watu na wao watakushehimua pia.
Kinachofanyika na hao kina dada ni kukuteka tu kingono.
Usipokua makini utajikuta umeshaharibu.
Wanalegeza vifungo wanakupapasa hadi macho yanakua mekundu.
Mi huwa nanyoa naondoka , ata scrub sifanyagi, ukipigwa na jua ngozi inababuka.Mawazo yangu, unaweza fanya scrab, mimi nakaa mjini kabisa Dar, na saloon zangu ni Sinza, nasema, sijawahi lazimishwa au ku experience mazingira yeyote yanayonishairia shinikizo la ngono, labda nyie ma handsome sana siwezi kujua, au mnajiendekeza na kupenda hayo mambo.
Ukiwa serious kunyoa, kusafishwa na kwenda, hayo hayawezi tokea, labda uwe unauliza uliza maswalli kwa sababu zako. Ukiheshimu watu na wao watakushehimua pia.