Tetesi: Tulipofikia sasa, ni RAIA yeyote wakati wowote unaweza kujikuta unamenyeka MAHABUSU au JELA !!

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,629
Reaction score
34,199
Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !

- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.

- Una laini ya simu

- Unaongea ( Siyo bubu )

- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI

- Una blog/YouTube Channel

- Mwanasiasa

- Mfanyabiashara

- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani

- Unamiliki Media

- Mwandishi wa habari

- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali

- Unatupa ovyo vocha ya kukwangua baada ya kuitumia

- Kununua simu kwa mtu !

- Kushirikiana na mwanasiasa hasa wa upinzani
 
Fafanua kivipi watu wenye vitu hivyo jela inaweza kuwanyemelea
 
Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !

- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.

- Una laini ya simu

- Unaongea ( Siyo bubu )

- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI

- Una blog/YouTube Channel

- Mwanasiasa

- Mfanyabiashara

- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani

- Unamiliki Media

- Mwandishi wa habari

- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali
Una Leseni ya udereva
 
Ukitumia kinyume yanaweza kukuta ndiyo ila sidhan kama unatumia ipavyo eti uwe kwemnye risk!
 
Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !

- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.

- Una laini ya simu

- Unaongea ( Siyo bubu )

- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI

- Una blog/YouTube Channel

- Mwanasiasa

- Mfanyabiashara

- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani

- Unamiliki Media

- Mwandishi wa habari

- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali

- Unatupa ovyo vocha ya kukwangua baada ya kuitumia

- Kununua simu kwa mtu !

- Kushirikiana na mwanasiasa hasa wa upinzani

Mkuu hata ukimiliki gari dereva akapata ajali korokoroni itakuhusu kama yule wa Lori la mbaya.

Cc: massabuni
 
Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !

- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.

- Una laini ya simu

- Unaongea ( Siyo bubu )

- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI

- Una blog/YouTube Channel

- Mwanasiasa

- Mfanyabiashara

- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani

- Unamiliki Media

- Mwandishi wa habari

- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali

- Unatupa ovyo vocha ya kukwangua baada ya kuitumia

- Kununua simu kwa mtu !

- Kushirikiana na mwanasiasa hasa wa upinzani
Vyote ulivyotaja vina terms of conditions,lete ujinga uone,uhuru uwajibikaji na mipaka ndo kitu muhimu,uki abuse lists uliyotaja lazima lazima uwajibike tu,hakuna namna,
Nilichokiona uvunjifu wa sheria kanuni na taratibu ulizoeleka sana ikaonekana ni halali,sasa sheria zina apply mnahisi kuonewa.
Mbwa ukizidisha nae mazoea atakufuata hadi msikitini
 
Kweli mkuu,wote sasa tunaona huyu mbwa anavyotubwekea na kututishia meno wakati sisi ndiyo tuliomwokota na sisi ndio tunaomlisha! Mbwa ni mbwa tu mkuu,haijalishi rangi yake!
 
Vyote ulivyotaja vina terms of conditions,lete ujinga uone,uhuru uwajibikaji na mipaka ndo kitu muhimu,uki abuse lists uliyotaja lazima lazima uwajibike tu,hakuna namna,
Nilichokiona uvunjifu wa sheria kanuni na taratibu ulizoeleka sana ikaonekana ni halali,sasa sheria zina apply mnahisi kuonewa.
Mbwa ukizidisha nae mazoea atakufuata hadi msikitini

Tatizo mbwa "koko" wamezidi kujipendekeza.Hata harufu itokayo kwa jirani waweza singiziwa yatoka kwako,kisa uliwahi "kujamba: miaka ileee!
 
Akaunti za JF ni salama kwa mujibu wa MELO, Tukirukiwa huku ni yeye atakuwa katuingiza chaka!!!!
 
Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !

- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.

- Una laini ya simu

- Unaongea ( Siyo bubu )

- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI

- Una blog/YouTube Channel

- Mwanasiasa

- Mfanyabiashara

- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani

- Unamiliki Media

- Mwandishi wa habari

- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali

- Unatupa ovyo vocha ya kukwangua baada ya kuitumia

- Kununua simu kwa mtu !

- Kushirikiana na mwanasiasa hasa wa upinzani
Ukiwa unaiokota hela ulioidondosha.
 
Nimekupata mana ukihudhuria mikutano ya siasa utakuwa muongeaj sana ukiwa na lain utaongea sana kuponda watu watakupata tu wasio julikana upo kila social media inamana unaongea sna kuhusu kila kitu
 
Kabisa yaani mie siku hizi napanda langu daladala manake sitaki shida gari natoka nayo usiku tuu wakati wale mabwana washaondoka barabarani manake siku hizi wanashindana na watoza ushuru
Usisahau risasi zinazopinda lakin
 
Back
Top Bottom