Tetesi: Tulipofikia sasa, ni RAIA yeyote wakati wowote unaweza kujikuta unamenyeka MAHABUSU au JELA !!

Tetesi: Tulipofikia sasa, ni RAIA yeyote wakati wowote unaweza kujikuta unamenyeka MAHABUSU au JELA !!

Kabisa mkuu lakini hatutaacha kupaza sauti zetu kama wana magereza ya kutosha watuweke humo tu
 
Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !

- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.

- Una laini ya simu

- Unaongea ( Siyo bubu )

- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI

- Una blog/YouTube Channel

- Mwanasiasa

- Mfanyabiashara

- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani

- Unamiliki Media

- Mwandishi wa habari

- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali

- Unatupa ovyo vocha ya kukwangua baada ya kuitumia

- Kununua simu kwa mtu !

- Kushirikiana na mwanasiasa hasa wa upinzani
Kama tupo uhamishoni,kumbe ni nyumbani...hatari !
 
Back
Top Bottom