Una Leseni ya uderevaKama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !
- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.
- Una laini ya simu
- Unaongea ( Siyo bubu )
- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI
- Una blog/YouTube Channel
- Mwanasiasa
- Mfanyabiashara
- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani
- Unamiliki Media
- Mwandishi wa habari
- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali
Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !
- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.
- Una laini ya simu
- Unaongea ( Siyo bubu )
- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI
- Una blog/YouTube Channel
- Mwanasiasa
- Mfanyabiashara
- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani
- Unamiliki Media
- Mwandishi wa habari
- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali
- Unatupa ovyo vocha ya kukwangua baada ya kuitumia
- Kununua simu kwa mtu !
- Kushirikiana na mwanasiasa hasa wa upinzani
Vyote ulivyotaja vina terms of conditions,lete ujinga uone,uhuru uwajibikaji na mipaka ndo kitu muhimu,uki abuse lists uliyotaja lazima lazima uwajibike tu,hakuna namna,Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !
- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.
- Una laini ya simu
- Unaongea ( Siyo bubu )
- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI
- Una blog/YouTube Channel
- Mwanasiasa
- Mfanyabiashara
- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani
- Unamiliki Media
- Mwandishi wa habari
- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali
- Unatupa ovyo vocha ya kukwangua baada ya kuitumia
- Kununua simu kwa mtu !
- Kushirikiana na mwanasiasa hasa wa upinzani
Kabisa yaani mie siku hizi napanda langu daladala manake sitaki shida gari natoka nayo usiku tuu wakati wale mabwana washaondoka barabarani manake siku hizi wanashindana na watoza ushuruUna Leseni ya udereva
Kweli mkuu,wote sasa tunaona huyu mbwa anavyotubwekea na kututishia meno wakati sisi ndiyo tuliomwokota na sisi ndio tunaomlisha! Mbwa ni mbwa tu mkuu,haijalishi rangi yake!Vyote ulivyotaja vina terms of conditions,lete ujinga uone,uhuru uwajibikaji na mipaka ndo kitu muhimu,uki abuse lists uliyotaja lazima lazima uwajibike tu,hakuna namna,
Nilichokiona uvunjifu wa sheria kanuni na taratibu ulizoeleka sana ikaonekana ni halali,sasa sheria zina apply mnahisi kuonewa.
Mbwa ukizidisha nae mazoea atakufuata hadi msikitini
Vyote ulivyotaja vina terms of conditions,lete ujinga uone,uhuru uwajibikaji na mipaka ndo kitu muhimu,uki abuse lists uliyotaja lazima lazima uwajibike tu,hakuna namna,
Nilichokiona uvunjifu wa sheria kanuni na taratibu ulizoeleka sana ikaonekana ni halali,sasa sheria zina apply mnahisi kuonewa.
Mbwa ukizidisha nae mazoea atakufuata hadi msikitini
Ukiwa unaiokota hela ulioidondosha.Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !
- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.
- Una laini ya simu
- Unaongea ( Siyo bubu )
- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI
- Una blog/YouTube Channel
- Mwanasiasa
- Mfanyabiashara
- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani
- Unamiliki Media
- Mwandishi wa habari
- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali
- Unatupa ovyo vocha ya kukwangua baada ya kuitumia
- Kununua simu kwa mtu !
- Kushirikiana na mwanasiasa hasa wa upinzani
usisahau na WALEVI wasiojieewa.. wanakunywa vipombe vyao vya buku buku alaf wanaleta fujo mtaani wao JELA inawanyemelea na KIFO juuFafanua kivipi watu wenye vitu hivyo jela inaweza kuwanyemelea
Ukitumia kinyume na nn hapo itategemeanaUkitumia kinyume yanaweza kukuta ndiyo ila sidhan kama unatumia ipavyo eti uwe kwemnye risk!
Usisahau risasi zinazopinda lakinKabisa yaani mie siku hizi napanda langu daladala manake sitaki shida gari natoka nayo usiku tuu wakati wale mabwana washaondoka barabarani manake siku hizi wanashindana na watoza ushuru