uungwana classic
JF-Expert Member
- Jun 9, 2014
- 2,324
- 2,085
Umemjibu powa sana mkuuKweli mkuu,wote sasa tunaona huyu mbwa anavyotubwekea na kututishia meno wakati sisi ndiyo tuliomwokota na sisi ndio tunaomlisha! Mbwa ni mbwa tu mkuu,haijalishi rangi yake!
Kama una vitu vifuatavyo Tanzania, Jela inakuita muda wowote !
- Unamiliki Akaunti ya Social media yoyote.
- Una laini ya simu
- Unaongea ( Siyo bubu )
- Unazungumzia HAKI na UKANDAMIZAJI
- Una blog/YouTube Channel
- Mwanasiasa
- Mfanyabiashara
- Unahudhuria mikutano ya siasa hasa ya upinzani
- Unamiliki Media
- Mwandishi wa habari
- Una toa takwimu yoyote inayopingana na serikali
- Unatupa ovyo vocha ya kukwangua baada ya kuitumia
- Kununua simu kwa mtu !
- Kushirikiana na mwanasiasa hasa wa upinzani
Jumamosi vaa fulana yenye picha ya Lissu kama utaliona jua likizama, jaribu.Ukitumia kinyume yanaweza kukuta ndiyo ila sidhan kama unatumia ipavyo eti uwe kwemnye risk!
Alianza Nape akafuata Mwigulu , inayofuata ni zamu yako .Vyote ulivyotaja vina terms of conditions,lete ujinga uone,uhuru uwajibikaji na mipaka ndo kitu muhimu,uki abuse lists uliyotaja lazima lazima uwajibike tu,hakuna namna,
Nilichokiona uvunjifu wa sheria kanuni na taratibu ulizoeleka sana ikaonekana ni halali,sasa sheria zina apply mnahisi kuonewa.
Mbwa ukizidisha nae mazoea atakufuata hadi msikitini
Vyote ulivyotaja vina terms of conditions,lete ujinga uone,uhuru uwajibikaji na mipaka ndo kitu muhimu,uki abuse lists uliyotaja lazima lazima uwajibike tu,hakuna namna,
Nilichokiona uvunjifu wa sheria kanuni na taratibu ulizoeleka sana ikaonekana ni halali,sasa sheria zina apply mnahisi kuonewa.
Mbwa ukizidisha nae mazoea atakufuata hadi msikitini
Yaani ni hatari sana mkuu. Inabidi ukae karibu na derevaUsisahau risasi zinazopinda lakin
Na kuongelea haki na ukandamizaji unaweza kuwa kinyume!?Ukitumia kinyume yanaweza kukuta ndiyo ila sidhan kama unatumia ipavyo eti uwe kwemnye risk!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Una Leseni ya udereva
Mbwa ni nani? Yaani Watanzania unatuita mbwa?Vyote ulivyotaja vina terms of conditions,lete ujinga uone,uhuru uwajibikaji na mipaka ndo kitu muhimu,uki abuse lists uliyotaja lazima lazima uwajibike tu,hakuna namna,
Nilichokiona uvunjifu wa sheria kanuni na taratibu ulizoeleka sana ikaonekana ni halali,sasa sheria znoina apply mnahisi kuonewa.
Mbwa ukizidisha nae mazoea atakufuata hadi msikitini
Tii sheria bila ya shuruti
SimpleFafanua kivipi watu wenye vitu hivyo jela inaweza kuwanyemelea
KivipiSimple
Bas sawaa, ngoja niigeKabisa yaani mie siku hizi napanda langu daladala manake sitaki shida gari natoka nayo usiku tuu wakati wale mabwana washaondoka barabarani manake siku hizi wanashindana na watoza ushuru