Tulipogomea Msaada Chanjo za Covid mlitupiga Vita sana. Sasa hadi Condom za Msaada hatutaki nazo

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Mkaanzisha na uhamasishaji tuchanjwe. Msaada wa mchele tunakataa sababu hauna manufaa kwetu sisi baadhi ya watu.

Usaid watoe pesa waone kama tutakataa... Mchele hatuwezi chukua peleka majumbani kwetu. Hauna faida kwetu. Next time watoe mkwanja tukanunue mchele hata Kenya( kwa ambao wananunua mchele kwetu)

Mbona mabehewa na engine za SGR tulinunua wenyewe? Tena kali kichizi. Siku hizi hata Ndom zao tumezigomea. Zinapunguza sisi waafrika kuzaana. Tunapiga kavu kavu. Hawa jamaa hawataki tuzaane. Wanajua tukizaana. Tutawazidi kiuchumi. Ni wivu tu.
 
Wengi wa waliochanja wanadai hamu ya Tendo la NDOA imeongezeka maradufu,

Sijui Chanjo inabadili nini mwilini Polepole🤔
 
Mkaanzisha na uhamasishaji tuchanjwe. Msaada wa mchele tunakataa sababu hauna manufaa kwetu sisi baadhi ya watu.

Usaid watoe pesa waone kama tutakataa... Mchele hatuwezi chukua peleka majumbani kwetu. Hauna faida kwetu. Next time watoe mkwanja tukanunue mchele hata Kenya( kwa ambao wananunua mchele kwetu)

Mbona mabehewa na engine za SGR tulinunua wenyewe? Tena kali kichizi. Siku hizi hata Ndom zao tumezigomea. Zinapunguza sisi waafrika kuzaana. Tunapiga kavu kavu. Hawa jamaa hawataki tuzaane. Wanajua tukizaana. Tutawazidi kiuchumi. Ni wivu tu.
Tunataka mademu wa msaada
 
Nilichanja na niko kawaida,, kuhusu huo mchele nina hakika siwezi kuula maana chakula kinachokula familia yangu mfano maharage, kunde, mahindi, mpunga, karanga na choroka nalima mwenyewe plus bustani. Huo msaada wale viongozi.
 
Hayo maharage na Michele unaweza shangaa unakutana nayo kwa mama lishe nchi ngumu sana hii.
 
Back
Top Bottom