SoC03 Tulipokuwa tukiwacheka watoto wa mitaani, hatukujua kuwa tutakuja kuwa wasomi wa mitaani

Stories of Change - 2023 Competition

Sweya Makungu

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2023
Posts
508
Reaction score
601
Tulipokuwa Tukiwacheka Watoto wa Mitaani, Hatukujua Kuwa Tutakuja Kuwa Wasomi wa Mitaani..
💫💫💫💫💫

©️Mwl. Makungu m.s
0743781910

Unaikumbuka ile miaka ya 90 kuja juu kidogo wakati miji mikubwa ilipoanza kupata tatizo la kuongezeka kwa watoto wa Mitaani?

Unayakumbuka majina mabaya tuliyokuwa tukiwapa watoto wa Mitaani na kuwahukumu bila kujua historia zao na tabia zao ?

Lilikuwa ni Jambo geni miongoni mwa jamii zetu wakati huo . Kuwa mtoto wa Mitaani ilikuwa ni Kama laana aliyojitakia mtoto mwenyewe.

Hatukujiuliza juu ya changamoto za wazazi wao Wala sababu zao za kuwa Mitaani. Tulichojua ni kuwa wale ni waasi waliotoroka kwny familia zao kuja kuwa vibaka.

HATUKUJUA:

Wakati shule na wazazi wakitulea kwa huruma na upendo , Mitaa iliwalea kwa chuki bila huruma.

Wakati shule zikitupa maadili maarifa na ujuzi wa kinadharia , Mitaa iliwafunza uharamia , maarifa ya kujiokoa na kifo na ujuzi wa vitendo.

Wakati shule zilipotupa uhuru na ujasiri wa kuhoji maarifa na kuheshimu mfumo , Mitaa iliwapa ujasiri wa kuheshimu na kutumia maarifa na kuupinga mfumo.

Wakati shule zilipotupa heshima ya vyeti na kutunyima uthubutu wa kujaribu kusimama wenyewe bila kufikiria ajira , Mitaa iliwanyima heshima na kuwapa ujasiri wa kuthubutu kusimama wenyewe kujiajiri kiubunifu.

Wakati shule zikitugawa kimatabaka ya kiuchumi na kutufanya tuwe na roho ya ubinafsi , Mitaa iliwaweka pamoja na kuwajaza upendo wa kusaidiana wao kwa wao vichochoroni, vibarazani na madarajani.

Wakati shule zikitufundisha historia yetu , uzalendo na amani, Mitaa iliwafunza historia ya maumivu yao ya kutengwa, chuki kwa waliofanikiwa na unyama kwa yyt atakayeingia anga zao.

Tulipowaepuka na kuwaogopa km vibaka , walijivika roho mbaya na kutusumbua km mateka.

Tulipowachukia na kuwasaka kuwatokomeza , walijigeuza wakapotea ktk sura za kuigiza .

Wachache wao walipopata bahati ya kurudi shule tuliwatenga tuliwasema na kuwasengenya kimya kimya huku tukiwaogopa km vibaka..

Serikali ilitupenda na kutulea km mayai , wakati ikiwasaka na kuwakamata km wazururaji na waharifu Mitaani.

HATUKUTEGEMEA
Kuwachukia kwetu kuliwakomaza na kuwatengenezea dunia ya peke yao .

Mitaa ilikuwa ni shule kwao . Na Kama vile sisi tulivyo hitimu vyuoni na wao pia walihitimu chuo kikuu cha mtaani.

Kama vile sisi tulivyofeli ktk hatua mbalimbali za elimu na kuishia njiani na wao pia wapo waliofeli wakauwawa km vibaka ,wakafungwa gerezani ,wakawa panya road na majambazi sugu.

Kwa wale tuliofaulu na kuhitimu vyuo vikuu
Wachache wenzetu wamebahatika kupata ajira . Lakini kundi la wengi lipo linazunguka Mitaani na bahasha za kaki likisaka ajira bila mafanikio. Na yale mahusiano yao ya chuoni yamevunjikia njiani kwa sbb ya Hali ngumu na ulevi . Siyo kosa lao . Ni kosa la ile elimu ya nadharia iliyowafundisha kuhoji maarifa na kuheshimu mfumo .

Wamegeuka kuwa Wasomi wa mitaani

Kwa wale waliofaulu na kuhitimu elimu ya mitaani

Wamegeuka kuwa wajasiriamali ,wafanyabiashara, wasanii, wanamichezo,manabii, motivational speakers, n.k wenye mafanikio na wanaishi kwa maadili na nidhamu.

Wamegeuka kuwa wahamasishaji wa mfano wa Mitaani.

Tuache kudharau watu na kuwahukumu bila kujua historia zao na changamoto za familia zao .

Tuchukue hatua mapema juu ya
bomu la watoto wa Mitaani na Wasomi wa Mitaani.

Ili ujiondoe mwenyewe kwenye kundi la wasomi wa Mitaani kabla serikali haijategua Hilo bomu jiongeze ndugu yangu . Tumia elimu uliyoipata kufanya ubunifu wa kuigeuza ikuletee pesa. Ikibidi Jivue usomi jivike umtaa. Tumia vipaji ulivyopewa na Mungu ambavyo havitolewi shuleni . Vipaji vinanolewa shuleni lakini vinatolewa na Mungu .

Ukipata bahati ya kufika kuzimu ukiwa ndotoni kawaulize mainjinia waliojenga mapiramidi ya Misri walisomea wapi uinjinia na waliwezaje kunyanyua mawe makubwa km yale mpk juu angani nyakati ambazo hakukuwa na mashine duniani!!!
Hapo ndipo utakikumbuka kipaji chako alichokupa Mungu..
Kama ambavyo mm natumia kipaji changu cha uandishi...

Jamii inapaswa kutambua kuwa, watoto wa mitaani hawakuzaliwa na mitaa . Wana wazazi wao ndugu na jamaa zao. Isipokuwa ni changamoto nyingi na ngumu za migogoro ya kifamilia ndizo huwafanya watoto wakimbilie mitaani na kuwageuza kuwa watoto wa mitaani..
Watoto Hawa huwa na ndoto zao na matamanio yao katika maisha lkn hujikuta wakibadili mitazamo yao juu ya maisha na kuingia katika mfumo mwingine wa kupambana na maisha baada ya Kupoteza njia za kufikia malengo ya ndoto zao.

Watoto wa mitaani wanahitaji faraja na tiba ya kisaikolojia ili kuwarejesha katika afya nzuri ya akili baada ya athari za manyanyaso katika familia na kutengwa na jamii husika.
Hatupaswi kuwatenga kuwadharau , kuwacheka wala kuwakejeli watoto wa mitaani kwa hali yao ya kuishi mitaani. Maana maisha yamebeba siri nzito ya mafanikio ya mwanadamu.
Unayemtegemea ndiye, siye . Lolote linaweza kubadilika muda wowote katika maisha ya mwanadamu.

Lakini pia ili kuepuka ongezeko la wasomi wa mitaani , serikali inapaswa kuweka mifumo mizuri ya elimu itakayoweza kuwafanya wahitimu wa elimu za darasani kuweza kujiajiri baada ya kuhitimu ngazi fulani ya elimu.
Mitaala ya elimu ijumuishe elimu za ujuzi mbalimbali mathalani ufundi wa aina tofauti tofauti , michezo , sanaa na muziki ili kuwafanya wahitimu wakitoka mashuleni na vyuoni kuanza kuvitumia vipaji vyao na ujuzi wao waliounoa au kuupata shuleni kujiingizia kipato na kuyaendesha maisha.

Makungu m.s
0743781910
 
Upvote 364
Wote mnaonipigia kura na Wote mnaosoma andiko langu nawashukuru Sana
 
SoC03 - Umuhimu wa kamera za ulinzi (cctv camera) katika vyombo vya usafiri wa umma na vituo vyake hapa nchini karibuni jamani tuelimike na hapa
 
Ahsanteni Sana . Nawashukuru Sana kwa kuendelea kunipigia kura ndugu zangu
 
Kuna watu wanaamini,tatizo la ajira,linachangiwa pia na wasomi kutoka vyuoni wasio na ajira,yaani wao kutokuwa na ajira ndio sababu hakuna ajira!!
Juzi nilikuwa naangslia taarifa aljazeera,inaonyesha vijana wasomi kutoka vyuo vya china wanavyoangaika kutafuta ajira!!
Nchi kama china,yenye uchumi mkubwa duniani,wahitimu wake asilimia 20,hawana ajira,wanatafuta kuajiliwa,wakikosa ajira rasmi,wanazama mashambani,au wanakuwa freelancers wa it products za makampuni ya nje!!hao vijana wanatoka vyuo Bora,lakini kujiajiri ni changamoto,Leo hii kijana kutoka chuo Cha kata udom,anaambiwa ajiajili!!
 
Tulipokuwa Tukiwacheka Watoto wa Mitaani, Hatukujua Kuwa Tutakuja Kuwa Wasomi wa Mitaani..
[emoji94][emoji94][emoji94][emoji94][emoji94]

[emoji2399]Mwl. Makungu m.s

Nimependa sana andiko lako! Limenifikirisha sana! Niliwahi kuajiliwa lakini sikuwa na raha may be kutokana na kitu kinaitwa "job satisfaction". Kipindi hicho nilikuwa nalipwa kama 2.3m na baada ya makato nilikuwa na take home ya 1.8m. Sasa bwana nilikuwa fed up na routine za utendaji kazi ambazo ni zile zile kila siku nikifika kazini nafanya kazi zile zile siku kwa siku wiki kwa wiki mwezi kwa mwezi mwaka inakatika unaanza upya! Hata kama kuna mabadiliko ni katika utaratibu hule hule. Nikiangalia social interaction pale kazini ni majungu tu ili mtu apandishwe cheo kujipendekeza kwa saana kulazimika kujiunga katika magroup ya kusaidiana ya harusi, magonjwa, misiba, sijui vikoba ya akina baba na humo kumejaa mizaa, fitina, unafiki, n.k. Unajua nilichokifanya? Nilifanya mazingira rafiki kwangu kuachishwa kazi nikalipwa haki zangu stahiki nikaingia mtaani! Japo hapo mwanzo miaka 3 ya manzoni nilipata msoto, lakini nakuambia sasa hivi nikipiga hesabu ya kipato vs living standard najiona niko far better kuliko nilivyokuwa kwenye ajira. Sasa juzi nikaenda kwenye ofisi moja ya umma nikaingia kwa manager wa hiyo sehemu ya kazi, nikakakuta ka kijana in his late 20s of age kamevimbisha kakitambi kake mbele ya kalaptop kenye utp cable ya internet kakifanya kazi kutegemea mfumo unasemaje! Basi, mimi nikamwangalia na jinsi alivyokuwa ananijibu kwa hoja ya madai yangu nikajua huyu (au hawa) waajiliwa wa siku hizi hususani taasisi za umma either 'are' or 'will' be poorest in near future kwa sababu kubwa kwamba: hawatumii akili! Wanafanyakazi kutokana na mfuko wa program za kazi ndani ya computer walizopewa na kama kawaida mpaka wakibahatika kustaafu basi kuishi additional 5 years mtaani kwa stress za kudai mafao yanayokatwa panga na kikokoto katiri cha sijui 25% sijui 30% utakuwa nwujiza. Na huyo akiishia njiani kwa kupoteza ajira huwe na uhakika atakula msoto mtaani mara [emoji817] ya hawa tunaowaona au Kuwaita watoto wa mitaani! Pandekezo langu kwetu sote ni kwamba mitaala yetu inatukalilisha vitu vya kuwa watumwa wa kutumikia mifumo na sio kutukomboa kwa fikra za kujikomboa mtu mmoja mmoja then jamii then taifa! Mwisho wa siku tunakuwa na Rais anayesaini mkataba mbaya utafikiri hajui kusoma??? Utafikiri hajui hatari za kuingia mikataba ya kimataifa ambayo inaweza kuipeleka nchi kuuzwa!

Naishia hapo! Namshukuru mleta uzi nilio_quote kanifikirisha sana
 
Kuna watu wanaamini,tatizo la ajira,linachangiwa pia na wasomi kutoka vyuoni wasio na ajira,yaani wao kutokuwa na ajira ndio sababu hakuna ajira!!
Juzi nilikuwa naangslia taarifa aljazeera,inaonyesha vijana wasomi kutoka vyuo vya china wanavyoangaika kutafuta ajira!!
Nchi kama china,yenye uchumi mkubwa duniani,wahitimu wake asilimia 20,hawana ajira,wanatafuta kuajiliwa,wakikosa ajira rasmi,wanazama mashambani,au wanakuwa freelancers wa it products za makampuni ya nje!!hao vijana wanatoka vyuo Bora,lakini kujiajiri ni changamoto,Leo hii kijana kutoka chuo Cha kata udom,anaambiwa ajiajili!!
Ajira ni Tatizo la dunia nzima . Hatuwezi kulikwepa Sana . Wakati tunaendelea kulitafutia ufumbuzi kwa kuishauri serikali, Ni muhimu wahitimu wakitoka vyuoni wawe na ujuzi au vipaji vya kuwawezesha kujiajiri kuendesha maisha
 
Nimependa sana andiko lako! Limenifikirisha sana! Niliwahi kuajiliwa lakini sikuwa na raha may be kutokana na kitu kinaitwa "job satisfaction". Kipindi hicho nilikuwa nalipwa kama 2.3m na baada ya makato nilikuwa na take home ya 1.8m. Sasa bwana nilikuwa fed up na routine za utendaji kazi ambazo ni zile zile kila siku nikifika kazini nafanya lazi zile zile siku kwa siku wiki kwa wiki mwezi kwa mwezi mwaka inakatika unaanza upya! Hata kama kuna mabadiliko ni katika utaratibu hule hule. Nikiangalia social interaction pale kazini ni majungu tu ili mtu apandishwe cheo kujipendekeza kwa saada kulazimika kujiunga katika magroup ya kusaidiana ya harusi, magonjwa, misiba, sijui vikoba ya akina baba na humo kumejaa mizaa, fitina, unafiki, n.k. Unajua nilichokifanya? Nilifanya mazingira rafiki kwangu kuachishwa kazi nikalipwa haki zangu stahiki nikaingia mtaani! Japo hapo mwanzo miaka 3 ya manzoni nilipata msoto, lakini nakuambia sasa hivi nikipiga he's hesabu ya kipato vs living standard najiona niko far better kuliko nilivyokuwa kwenye ajira. Sasa juzi nikaenda kwenye ofisi moja ya umma nikaingia kwa manager wa hiyo sehemu ya kazi, nikakakuta ka kijana in his late 20s of age kamevimbisha kakitambi kake mbele ya kalaptop kenye utp cable ya internet kakifanya kazi kutegemea mfumo unasemaje! Basi, mimi nikamwangalia na jinsi alivyokuwa ananijibu kwa hoja ya madai yangu nikajua huyu (au hawa) waajiliwa wa siku hizi hususani taasisi za umma either 'are' or 'will' be poorest in near future kwa sababu kubwa kwamba: hawatumii akili! Wanafanyakazi kutokana na mfuko wa program za kazi ndani computer walizopewa na kama kawaida mpaka wakibahatika kustaafu basi kuishi additional 5 years mtaani kwa stress za kudai mafao yanayokatwa panga na kikokoto katiri cha siju 25% sijui 30% utakuwa nwujiza. Na huyo akiishia njiani kwa kupoteza ajira huwe na uhakika atakula msoto mtaani mara [emoji817] ya hawa tunaowaona au Kuwaita watoto wa mitaani! Pandekezo langu kwetu sote ni kwamba mitaala yetu inatukalilisha vitu vya kuwa watumwa wa kutumikia mifumo na sio kutukomboa kwa fikra za kujikomboa mtu mmoja mmoja then jamii then taifa! Mwaisho wa siku tunakuwa na Rais anayesaini mkataba mbaya utafikiri hajui kusoma??? Utafikiri hajua hatari za kuingia mikataba ya kimataifa ambayo inaweza kuipeleka nchi kuuzwa!

Naishia hapo! Namshukuru mleta uzi nilio_quote kanifikirisha sana
Ndugu yangu nashukuru ahsante Sana kwa kunielewa ujumbe wangu niliokusudia kubadilisha mitazamo ya jamii
 
Tulipokuwa Tukiwacheka Watoto wa Mitaani, Hatukujua Kuwa Tutakuja Kuwa Wasomi wa Mitaani..
💫💫💫💫💫

©️Mwl. Makungu m.s
0743781910

Unaikumbuka ile miaka ya 90 kuja juu kidogo wakati miji mikubwa ilipoanza kupata tatizo la kuongezeka kwa watoto wa Mitaani?

Unayakumbuka majina mabaya tuliyokuwa tukiwapa watoto wa Mitaani na kuwahukumu bila kujua historia zao na tabia zao ?

Lilikuwa ni Jambo geni miongoni mwa jamii zetu wakati huo . Kuwa mtoto wa Mitaani ilikuwa ni Kama laana aliyojitakia mtoto mwenyewe.

Hatukujiuliza juu ya changamoto za wazazi wao Wala sababu zao za kuwa Mitaani. Tulichojua ni kuwa wale ni waasi waliotoroka kwny familia zao kuja kuwa vibaka.

HATUKUJUA:

Wakati shule na wazazi wakitulea kwa huruma na upendo , Mitaa iliwalea kwa chuki bila huruma.

Wakati shule zikitupa maadili maarifa na ujuzi wa kinadharia , Mitaa iliwafunza uharamia , maarifa ya kujiokoa na kifo na ujuzi wa vitendo.

Wakati shule zilipotupa uhuru na ujasiri wa kuhoji maarifa na kuheshimu mfumo , Mitaa iliwapa ujasiri wa kuheshimu na kutumia maarifa na kuupinga mfumo.

Wakati shule zilipotupa heshima ya vyeti na kutunyima uthubutu wa kujaribu kusimama wenyewe bila kufikiria ajira , Mitaa iliwanyima heshima na kuwapa ujasiri wa kuthubutu kusimama wenyewe kujiajiri kiubunifu.

Wakati shule zikitugawa kimatabaka ya kiuchumi na kutufanya tuwe na roho ya ubinafsi , Mitaa iliwaweka pamoja na kuwajaza upendo wa kusaidiana wao kwa wao vichochoroni, vibarazani na madarajani.

Wakati shule zikitufundisha historia yetu , uzalendo na amani, Mitaa iliwafunza historia ya maumivu yao ya kutengwa, chuki kwa waliofanikiwa na unyama kwa yyt atakayeingia anga zao.

Tulipowaepuka na kuwaogopa km vibaka , walijivika roho mbaya na kutusumbua km mateka.

Tulipowachukia na kuwasaka kuwatokomeza , walijigeuza wakapotea ktk sura za kuigiza .

Wachache wao walipopata bahati ya kurudi shule tuliwatenga tuliwasema na kuwasengenya kimya kimya huku tukiwaogopa km vibaka..

Serikali ilitupenda na kutulea km mayai , wakati ikiwasaka na kuwakamata km wazururaji na waharifu Mitaani.

HATUKUTEGEMEA
Kuwachukia kwetu kuliwakomaza na kuwatengenezea dunia ya peke yao .

Mitaa ilikuwa ni shule kwao . Na Kama vile sisi tulivyo hitimu vyuoni na wao pia walihitimu chuo kikuu cha mtaani.

Kama vile sisi tulivyofeli ktk hatua mbalimbali za elimu na kuishia njiani na wao pia wapo waliofeli wakauwawa km vibaka ,wakafungwa gerezani ,wakawa panya road na majambazi sugu.

Kwa wale tuliofaulu na kuhitimu vyuo vikuu
Wachache wenzetu wamebahatika kupata ajira . Lakini kundi la wengi lipo linazunguka Mitaani na bahasha za kaki likisaka ajira bila mafanikio. Na yale mahusiano yao ya chuoni yamevunjikia njiani kwa sbb ya Hali ngumu na ulevi . Siyo kosa lao . Ni kosa la ile elimu ya nadharia iliyowafundisha kuhoji maarifa na kuheshimu mfumo .

Wamegeuka kuwa Wasomi wa mitaani

Kwa wale waliofaulu na kuhitimu elimu ya mitaani

Wamegeuka kuwa wajasiriamali ,wafanyabiashara, wasanii, wanamichezo,manabii, motivational speakers, n.k wenye mafanikio na wanaishi kwa maadili na nidhamu.

Wamegeuka kuwa wahamasishaji wa mfano wa Mitaani.

Tuache kudharau watu na kuwahukumu bila kujua historia zao na changamoto za familia zao .

Tuchukue hatua mapema juu ya
bomu la watoto wa Mitaani na Wasomi wa Mitaani.

Ili ujiondoe mwenyewe kwenye kundi la wasomi wa Mitaani kabla serikali haijategua Hilo bomu jiongeze ndugu yangu . Tumia elimu uliyoipata kufanya ubunifu wa kuigeuza ikuletee pesa. Ikibidi Jivue usomi jivike umtaa. Tumia vipaji ulivyopewa na Mungu ambavyo havitolewi shuleni . Vipaji vinanolewa shuleni lakini vinatolewa na Mungu .

Ukipata bahati ya kufika kuzimu ukiwa ndotoni kawaulize mainjinia waliojenga mapiramidi ya Misri walisomea wapi uinjinia na waliwezaje kunyanyua mawe makubwa km yale mpk juu angani nyakati ambazo hakukuwa na mashine duniani!!!
Hapo ndipo utakikumbuka kipaji chako alichokupa Mungu..
Kama ambavyo mm natumia kipaji changu cha uandishi...

Jamii inapaswa kutambua kuwa, watoto wa mitaani hawakuzaliwa na mitaa . Wana wazazi wao ndugu na jamaa zao. Isipokuwa ni changamoto nyingi na ngumu za migogoro ya kifamilia ndizo huwafanya watoto wakimbilie mitaani na kuwageuza kuwa watoto wa mitaani..
Watoto Hawa huwa na ndoto zao na matamanio yao katika maisha lkn hujikuta wakibadili mitazamo yao juu ya maisha na kuingia katika mfumo mwingine wa kupambana na maisha baada ya Kupoteza njia za kufikia malengo ya ndoto zao.

Watoto wa mitaani wanahitaji faraja na tiba ya kisaikolojia ili kuwarejesha katika afya nzuri ya akili baada ya athari za manyanyaso katika familia na kutengwa na jamii husika.
Hatupaswi kuwatenga kuwadharau , kuwacheka wala kuwakejeli watoto wa mitaani kwa hali yao ya kuishi mitaani. Maana maisha yamebeba siri nzito ya mafanikio ya mwanadamu.
Unayemtegemea ndiye, siye . Lolote linaweza kubadilika muda wowote katika maisha ya mwanadamu.

Lakini pia ili kuepuka ongezeko la wasomi wa mitaani , serikali inapaswa kuweka mifumo mizuri ya elimu itakayoweza kuwafanya wahitimu wa elimu za darasani kuweza kujiajiri baada ya kuhitimu ngazi fulani ya elimu.
Mitaala ya elimu ijumuishe elimu za ujuzi mbalimbali mathalani ufundi wa aina tofauti tofauti , michezo , sanaa na muziki ili kuwafanya wahitimu wakitoka mashuleni na vyuoni kuanza kuvitumia vipaji vyao na ujuzi wao waliounoa au kuupata shuleni kujiingizia kipato na kuyaendesha maisha.

Makungu m.s
0743781910
endelea kujipigia kura utaumbuka one only device can make vote. pitia term and condition
 
Back
Top Bottom