masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Pamoja na siasa uchwara za wenzetu, inabidi tukubali ukweli tunaouona kwa macho yetu.
Toka tumeanza kuwa na huyu mbunge wetu Tulia Ackson, miradi mkoa wa Mbeya imeanza kuchangamsha mkoa.
Pamoja na kuwa mkoa mkubwa wa uzalishaji mkubwa wa chakula kwa Taifa, Mbeya ilikuwa katika jinamizi la kimaendeleo.
Kwa takriban miaka 15-20 viongozi wa kitaifa siyo siri waliku wakiunyanyapaa kutembelea mkoa.
Nasema hivi kwa sababu za siasa za majitaka ndani ya hata CCM yenyewe.
Kuingia Dr Tulia Ackson katika siasa za Mbeya kumekata unyanyapaa huo.
Sasa na miradi ya ujenzi wa miundo mbinu imeanza kuchipua karibia kila wilaya.
Kwa ile miradi ninayoifahamu:
-Uyole-Mbalizi-Ifisi 4way rd
-itumba-Mpemba rd
-Inyala-Simambwe rd
-Chunya-Makongorosi rd
~Mbambo-Masoko-Tukuyu rd
-Busokelo-Katumba rd
Na nimedodosa, miradi katika pipeline
-Mbalizi-Chunya rd
-Kiwira-Ighale Mbalizi rd
-Kasumulu-Ileje rd
Sasa naua sana kuna wadau na viongziwengi ni wausika pia na michango yao ipo.
Ila kwa kupata mtu wa kuisemea Mbeya kitaifa, hilo ni bingo.
Halafu sasa wanajitokeza watu wanaotaka kuturudissha Misri, kwa kuirudisha Mbeya kwenye siasa za matusi na maandamano yasiyo na tija Mwanjelwa. Mzee wa kidole cha kati hajawahi kuwa na ushawishi katika maendeleo.