Tulipompata Tulia Ackson kama mbunge, Mbeya yote imechangamka kwa miradi ya miundombinu

Mkuu Mbeya mjini wakazi wake wengi ni Wasafwa, Wakinga, Wahindi, Wanyakyusa na Wawanji. Tulia kwao ni Wilaya ya Rungwe
Nasikia Jiwe mlilo lika taa tukuyu Sasa limegeuka luru Kwa wasafa
 
Sugu ni makapi katika jamii kisiasa.
Anataka kupambana na Dr Tlia ambaye uwepo wake kisiasa ni hiyo miradi ya maendeleo kijamii.
Sugu hana lolote la kuwaendeleza wana Mbeya.
 
Umeanza uchawa pro
Kama uchawa unaleta maendeleo ya barabara Mbeya, so be it.

Uhuni wa kidole cha kati si ushamba tu, bali inaonyesha mtu alivyo mtupu kivchwani.
 
Nchi ya ajabu sana. Sugu ndio mtu wa kulinganishwa na Tulia? Naweza kumuita mhuni tu. Elimu ndogo ujanjaujanja tu. Akiongea ni kufokafoka utadhani anaghani mashairi.😂
Kuna watu humu ndani wana mahaba yasiyo na mashiko kimaendeleo na Sugu.
 
Hakika hujielewi.
 
kwa hiyo wilaya zote hizo ulizo zitaja mbunge ni tulia ackson au
 
Nchi ya ajabu sana. Sugu ndio mtu wa kulinganishwa na Tulia? Naweza kumuita mhuni tu. Elimu ndogo ujanjaujanja tu. Akiongea ni kufokafoka utadhani anaghani mashairi.😂
Sugu ni kama intellectual trash, zaidi ya kujisifu na matusi wananchi hawana cha kutegemea.
 
Mtaongea Sana lkn mziki wa dogo mtakumbana nao LIVE. Kumbuka safari hii mwendazake Yuko kuzimu.
 
Unataka kusema Tulia ni mbunge anayewakilisha mkoa mzima wa Mbeya, na wala siyo jimbo lake la Mbeya Mjini. Na pia unataka kutuambia kuwa serikali hupeleka miradi ya maendeleo kwa upendeleo kutokana na mlengo wa kiitikad wa kiongozi aliyechaguliwa na wananchi!?

Yaani kiongozi anayechaguliwa na wananchi akitoka chama kingine nje ya CCM, maendeleo ya eneo husika hayapaswi kupewa kipaumbele na serikali. Yaani, kuichagua CCM ni sharti la lazima, vinginevyo wananchi waliochagua viongozi wa upinzani hupaswa kukomolewa ili wajutie kile walichokifanya!

Duh! Nchi hii siyo ngumu, bali raia ndiyo wagumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…