Tulipompata Tulia Ackson kama mbunge, Mbeya yote imechangamka kwa miradi ya miundombinu

Kwa hizo sera za kipumbavu na kubaguzi za kukataa kupeleka maendeleo maeneo yenye viongozi kutoka upinzani?
 
Jamaa huyo hamna kitu , huwez kumweka mtu wa hovyo kama huyo kuwa mwakilishi , mara mia ya Prof Jay somehow anajiheshimu kuliko huyu kiazi
Hapa napingana na wewe, Tulia ni mwehu mara saba ya huyu hakana akili hata moja kale ka sister.

Mbeya siwezi kuishi ni mji wa kishamba kuanzia kwa watu wake
 
Hivi, mama Saia kabila gani?
Ni mijitu mijinga mijinga tu inayofikiri kikabila kama unavyifikiri.
Kwani barabara za Mbeya ni za kabila gani?
Mbeya kwa kishamba tu na mjanja ni sugu peke yake
 
Kwa ile miradi ninayoifahamu:
-Uyole-Mbalizi-Ifisi 4way rd
-itumba-Mpemba rd
-Inyala-Simambwe rd
-Chunya-Makongorosi rd
~Mbambo-Masoko-Tukuyu rd
-Busokelo-Katumba rd
Haya ni majina ya dawa za Maswa au ni maeneo ya Mbeya?
 
Kumbe uzi wote ni kuhusu aya ya mwisho?Kwa nini usingeandika:NAMUOGOPA JOSEPH MBILINYI aka SUGU?
 
Ndio maana nawashangaa wanaowaza kuwa Sungu anaweza kumpa changamoto Tulia! Sugu huyuhuyu vs. Dr. Tulia?

Kuwa na mbunge ambaye ana nafasi kubwa ni faida mno, anayo access na mawaziri wote pamoja na rais mwenyewe, anaweza kushawishi mambo yakatendeka jimboni.

Nitashangaa wana Mbeya kama watakuwa tayari kupoteza fursa hiyo kwa ajili ya Sugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…