Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na mtu mwingine lakini sio kweli.
So nilimbembeleza na kumweleza ukweli lakini bado hanielewi anadai haitaki kugombana na huyo mtu ambaye yeye anahisi mimi natoka naye.
Lakini baadae nikaona huyu anataka kunipanda kichwani mimi nikaamua kukaa kimya kwa muda ili kuclear air lakini baadae nikajua anatoka na mtu mwingine but sikumchana kwamba anatoka na mtu flani so nikaanza kumcheki kwa ujumbe wa maandishi nikaona anarespond na yeye akaanza kunishirikisha mambo yake lakini mwanzoni alikuwa anapenda kuniita my lakini sasa hivu ameacha kabisa.
So wakuu wa MMU naombeni ushauri wenu jinsi ya kumrudisha kwenye line b'se tunapendana sanaa lakini hataki kunielewa kwamba mimi sina mtu mwingine zaidi yake.