Nimeishia hapo kwenye neno tunapendana sijui kwann 😀 ila kama kweli mngekuwa mnapendana asingeenda kwa huyo mwingne sema tu we ndo unampenda hilo neno usilitumie sana