Tulipotezeana kwa muda kisa tu anahisi mimi nina mtu mwingine

Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3
Kama unatembea na mtu mwenye 21 yrs na unajihisi unatakiwa kumbembeleza ili akuelewe basi una safari ndefu sana ya kuumia kichwa.
 
Pole sana kijana
Lakini kwa scenario jinsi ilivyo huyo demu alikuwa anakutafutia sababu yakukuweka mbali ili afurahie penzi lake hilo na huyo mshikaji mwingine ,kiufupi hiyo mbinu aliyotumia huyo demu wako mademu wengi wanaitumia pindi wanapokuwa wanatongozwa na mtu mwingine au wanarudiana na ma ex wao ,,alichofanya kakupa kosa kwanza wewe then ukakubali kwa kukaa kimya na yeye akapata ahueni huko na mahusiano yake coz humsumbui tena ila mnawasiliana pale tu anapotaka yeye haitoshi hakuiti tena majina mazuri (my)[emoji1] lengo kujitoa kabsa but trust me huyo manzi akigombana na huyo mwamba wewe itakuwa rahisi kula mbususu ila ukiomba kwasasa hupati ng'00..

Kama unahitaji mahusiano serious acha huyo demu aendelee na mambo yake kama ukimshikilia niamini mimi kila siku utakuwa unalialia na mapenzi kama mtoto..
Huyo demu mafia kweli. Amemzidi maarifa kijana kwa mbali. Yani unapewa kosa halafu watu wanaendelea na maisha.
 
Refusha na kunenepesha uume kwa size unayoitaka wewe kwa bei poa tu
Ongeza size na unene wa uume ndani ya muda mfupi tumia
*DAWA HII ILIYOFANYIWA UCHUGUZI NA KUSAIDIA WATU WENGI UNASAFIRIZHIWA NDIPO ULIPE EPUKA MATAPELI
* Ni Dawa asilia ya kuongeza size na unene wa uume wako,inanenepesha na kuongeza ukubwa na urefu wa uume wako kwa muda mfupi, ni dawa isiyo na kemikali, imetengenezwa kwa kutumia virutubisho vya mimea asilia, ni dawa bora inayotumiwa na wengi wameipenda, inarefusha na kunenepesha size ya uume wako kwa haraka ,ni ndani ya siku 5 tu unapata matokeo
JINSI YA KUTUMIA ni rahisi ,unapaka kwenye uume wako baada ya kuoga na kupaka mafuta yako ya lotion au mgando,inauwezo wa kuongeza uume
AGIZA SASA PIGA SIMU!
+255 744393735
Chupa nzima inapatikana kwa Tsh 30'000/= ,pia ukitaka ya kupima kulingana na size unayotaka,mfano ya kuongeza ukubwa wa kuanzia inch 1 ni sh Tsh 20,000/= tu
Agiza utumiwe popote ulio ndani ya Tanzania, mikoani na nje ya nchi tunatumaa
Lipia Tangazo
 
Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na mtu mwingine lakini sio kweli.

So nilimbembeleza na kumweleza ukweli lakini bado hanielewi anadai haitaki kugombana na huyo mtu ambaye yeye anahisi mimi natoka naye.

Lakini baadae nikaona huyu anataka kunipanda kichwani mimi nikaamua kukaa kimya kwa muda ili kuclear air lakini baadae nikajua anatoka na mtu mwingine but sikumchana kwamba anatoka na mtu flani so nikaanza kumcheki kwa ujumbe wa maandishi nikaona anarespond na yeye akaanza kunishirikisha mambo yake lakini mwanzoni alikuwa anapenda kuniita my lakini sasa hivu ameacha kabisa.

So wakuu wa MMU naombeni ushauri wenu jinsi ya kumrudisha kwenye line b'se tunapendana sanaa lakini hataki kunielewa kwamba mimi sina mtu mwingine zaidi yake.
Boss kua kwanza sawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dah! Bado mnaishi maisha ya chuo au uko chuo ndio maana[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kijana
Lakini kwa scenario jinsi ilivyo huyo demu alikuwa anakutafutia sababu yakukuweka mbali ili afurahie penzi lake hilo na huyo mshikaji mwingine ,kiufupi hiyo mbinu aliyotumia huyo demu wako mademu wengi wanaitumia pindi wanapokuwa wanatongozwa na mtu mwingine au wanarudiana na ma ex wao ,,alichofanya kakupa kosa kwanza wewe then ukakubali kwa kukaa kimya na yeye akapata ahueni huko na mahusiano yake coz humsumbui tena ila mnawasiliana pale tu anapotaka yeye haitoshi hakuiti tena majina mazuri (my)[emoji1] lengo kujitoa kabsa but trust me huyo manzi akigombana na huyo mwamba wewe itakuwa rahisi kula mbususu ila ukiomba kwasasa hupati ng'00..

Kama unahitaji mahusiano serious acha huyo demu aendelee na mambo yake kama ukimshikilia niamini mimi kila siku utakuwa unalialia na mapenzi kama mtoto..
Matokeo nimeshayaona mkuu
 
Kheri ya Eid pili wakuu na jumapili njema wenzangu na mimi, moja kwa moja kwenye mada wakuu mimi nilikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja almost ana miaka 21 na mahusiano yetu yaliendelea vizuri kwa muda wa miezi 3 lakini 3 past weeks huyo mwenzangu alikuwa analalamika sanaa kwamba mimi niko na mtu mwingine lakini sio kweli.

So nilimbembeleza na kumweleza ukweli lakini bado hanielewi anadai haitaki kugombana na huyo mtu ambaye yeye anahisi mimi natoka naye.

Lakini baadae nikaona huyu anataka kunipanda kichwani mimi nikaamua kukaa kimya kwa muda ili kuclear air lakini baadae nikajua anatoka na mtu mwingine but sikumchana kwamba anatoka na mtu flani so nikaanza kumcheki kwa ujumbe wa maandishi nikaona anarespond na yeye akaanza kunishirikisha mambo yake lakini mwanzoni alikuwa anapenda kuniita my lakini sasa hivu ameacha kabisa.

So wakuu wa MMU naombeni ushauri wenu jinsi ya kumrudisha kwenye line b'se tunapendana sanaa lakini hataki kunielewa kwamba mimi sina mtu mwingine zaidi yake.
Walk Away.
 
Uyo kasharudiana na jamaa yake wa mwanzo, so alikua nawew kwa kujiegesha tu.
Ni kweli alirudiana na jamaa ila sahv kampiga chini jamaa na kuna mtu alishasema kwamba hatadumu na huyo huyo aliyenae
 
Back
Top Bottom