Pole sana kijana
Lakini kwa scenario jinsi ilivyo huyo demu alikuwa anakutafutia sababu yakukuweka mbali ili afurahie penzi lake hilo na huyo mshikaji mwingine ,kiufupi hiyo mbinu aliyotumia huyo demu wako mademu wengi wanaitumia pindi wanapokuwa wanatongozwa na mtu mwingine au wanarudiana na ma ex wao ,,alichofanya kakupa kosa kwanza wewe then ukakubali kwa kukaa kimya na yeye akapata ahueni huko na mahusiano yake coz humsumbui tena ila mnawasiliana pale tu anapotaka yeye haitoshi hakuiti tena majina mazuri (my)[emoji1] lengo kujitoa kabsa but trust me huyo manzi akigombana na huyo mwamba wewe itakuwa rahisi kula mbususu ila ukiomba kwasasa hupati ng'00..
Kama unahitaji mahusiano serious acha huyo demu aendelee na mambo yake kama ukimshikilia niamini mimi kila siku utakuwa unalialia na mapenzi kama mtoto..