Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

Aise.
 
Dada Depal usikatae kuna ukweli ndani yake
Wanawake wasio taka ndoa wanahangaika na magari. Ila wanawake wanaohangaika na nyumba ndio wanataka familia. .

Mademu wachache wanahangaika na baba mwenye nyumba na wengi wanahangaika na wenye magari. .
Gily Gru nakataa, utasema mi mtoto ila nakataa😂
 
Mkuu, wakati mwingine ni namna unavyowa-approach wanawake wa humu JF.

Frankly speaking, tangu nijiunge JF 2012, nimeshakutana mubashara na wanawake 5, 2 kati yao nimewala (tumekulana), 3 ni washkaji mpaka sasa kwani sikutaka kuhusiana nao kimapenzi kwasababu ninazozijua mimi. Mbali na mapenzi, nimeshapiga deal mbili kubwa za hela humuhumu. So JF kuna kila kitu.

Back to the topic. Madem niliowala niliwaambia ukweli agaisnt their wish kwamba wanaume wote ni waongo. Kwanza walikuwa wakali, so what i did, siku niliyokutana na kila mmoja nilimwambia ukweli, kwamba nimevutiwa naye jinsi alivyo, natamani tuwe marafiki wa faida, na kwamba simuahidi chochote (kama ndoa) in the long run, kama ni kumuoa labda itokee tu nikipendezwa nae.

Hawa wadada 2 walinishangaa sana. So kwa namna nimekuwa mkweli wakaniona wa tofauti. Zaidizaidi nikawaambia watofautishe maisha yangu ya JF na maisha yangu halisi. Wakinikuta JF wanitreat ki-JF JF, na tukikutana nje ya JF wanitreat accordingly.

So niliwala mkuu. Na huwezi amini, hata nikipost ujinga wangu humu wana-comment ila huwa wananipigia au kunitext na kuninanga sometimes [emoji28].

Shida ukiwatongoza kwa kuvunga uko loyal huwa wanapeperuka sana [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…