Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Aaahhh kama umemuelewa mtu wee mPM tuuu ,Kwan shingapi bana?... Mimi Huwa naamua kuPM tu haijalishi wanasoma visa vyangu vya masihara, kama atanielewa atanielewa tu...Si wanasema Love is Blind?? Ublind wenyewe ndio huo Sasa.Kumbe humu jf mitongozo kweli inaendelea nilidha i ni mie tuu ninayekataliwa pm 🤣🤣🤣🤣
Wee jf kuna pisi kali? Acha masikhara hawa tunaoshinda nao hapa mpaka saa nane usiku pisi kali wai bwana wewe🤣🤣🤣🤣
Kuna mtoto huyooo jamaan, siku akinionea huruma akanitunuku ... Nitaacha kuoga Kwa muda wa wiki nzima yaan siku Saba za juma .
Oyaaaa ni kisuuuuu ,unajua kisuu???