Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

Kweli kabisa
Mimi nina nyumba na mademu wengi sana hawana time na kuna mshikaji wangu anababaikiwa sana kisa ana gari la bosi wake anawadanganya la kwake.
😅😅😅😅😅 anakula utelezi, nyumba nzuri labda uibebe kichwani.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] piga kwenye pori papapa tako tatu wazungu wa moscow waleeeee
Au wasomalii wa mogandishu hawa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haloo wakuu kina Chakorii, Hornet, To yeye, Kelsea, Depal, Joanah, Witnesj7, miss minah, stacia, Kalpana, Kasie, na wengineo wote hao kwa pamoja ni dada zetu.

Kimasihara haiwahusu sisi tunacheza na universal set walio nje ya JF......[emoji16]

Wakulungwa si tupo pamoja!!!!
Hata hao wakikaa vibaya unapita nao na mia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-1884099626.jpg
 
Haloo wakuu kina Chakorii, Hornet, To yeye, Kelsea, Depal, Joanah, Witnesj7, miss minah, stacia, Kalpana, Kasie, na wengineo wote hao kwa pamoja ni dada zetu.

Kimasihara haiwahusu sisi tunacheza na universal set walio nje ya JF......😁

Hata kutafutata wanawake wa kuoa humu inamaana tuache?.
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai, mkiwa humu ukirusha ndoana watapindisha pindisha ila ukikomaa unatoboa kiulaini tu.
 
Back
Top Bottom