Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

Tulishakubaliana wanawake wa JF ni dada zetu kimasihara haiwahusu

Labda itokee kimsihara mtaani tukulane bila kujuana kama kati yetu wote ni members,

maana kuna mdau humu kaleta masihara yake kwenye uzi pendwa wa rikiboy amekula demu tena mwenye wadhifa kitaa huko.
baada ya game kuisha demu kamwambia umenila kimasihara, jamaa akavuta picha kauli ya demu, mwishowe macho yakagongana wote wawili ikawa jamaa kahisi demu member wa jf na anaujua uzi pendwa wa tunda kimasihara, mshikaji kacheka ila akili kumkichwa[emoji1787]
Aise.
 
Dada Depal usikatae kuna ukweli ndani yake
Wanawake wasio taka ndoa wanahangaika na magari. Ila wanawake wanaohangaika na nyumba ndio wanataka familia. .

Mademu wachache wanahangaika na baba mwenye nyumba na wengi wanahangaika na wenye magari. .
Gily Gru nakataa, utasema mi mtoto ila nakataa😂
 
Hawa wa humu mkilana, wanakufanya uwe bubu, unakua huwez Tena leta visa vyako vya mitaani.

Sasa muhuni kama Mimi , almost Kila wiki lazima nipige Mbususu tofauti 2-3 labda niwe sitaki tu.

Sasa hivo visa nitawaleteaje humu?.

Anyway Kuna Warembo wakali humu, nishajitahidi kuwatupia Ndoano zangu ila wanachomoka [emoji1787].


Utasikia nahukumiwa.... Wewe Carlos weeee uhuni wako wote huo nikupe? Nitakua Sina akili kabisa .



Basi nishaamua wa Humu , nitulie tu ,hawachelewi kukuumbua na kukuchamba [emoji1787][emoji1787]
Mkuu, wakati mwingine ni namna unavyowa-approach wanawake wa humu JF.

Frankly speaking, tangu nijiunge JF 2012, nimeshakutana mubashara na wanawake 5, 2 kati yao nimewala (tumekulana), 3 ni washkaji mpaka sasa kwani sikutaka kuhusiana nao kimapenzi kwasababu ninazozijua mimi. Mbali na mapenzi, nimeshapiga deal mbili kubwa za hela humuhumu. So JF kuna kila kitu.

Back to the topic. Madem niliowala niliwaambia ukweli agaisnt their wish kwamba wanaume wote ni waongo. Kwanza walikuwa wakali, so what i did, siku niliyokutana na kila mmoja nilimwambia ukweli, kwamba nimevutiwa naye jinsi alivyo, natamani tuwe marafiki wa faida, na kwamba simuahidi chochote (kama ndoa) in the long run, kama ni kumuoa labda itokee tu nikipendezwa nae.

Hawa wadada 2 walinishangaa sana. So kwa namna nimekuwa mkweli wakaniona wa tofauti. Zaidizaidi nikawaambia watofautishe maisha yangu ya JF na maisha yangu halisi. Wakinikuta JF wanitreat ki-JF JF, na tukikutana nje ya JF wanitreat accordingly.

So niliwala mkuu. Na huwezi amini, hata nikipost ujinga wangu humu wana-comment ila huwa wananipigia au kunitext na kuninanga sometimes [emoji28].

Shida ukiwatongoza kwa kuvunga uko loyal huwa wanapeperuka sana [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom