Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Me too brother ...me tooHv ni mimi pekee yangu ndo hua nafurahi kuona wasomi (hasa vijana wasomi) wakitapeliwa kizembe hivyo.?
Tuko wengiHv ni mimi pekee yangu ndo hua nafurahi kuona wasomi (hasa vijana wasomi) wakitapeliwa kizembe hivyo.?
Hebu naomba nisimulieni vizuri wanafanya nini siku hizi hao QNet?WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa katika nyumba wanamoishi zoezi linalosimamiwa na Polisi Kata.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbezi Louis amesema vijana hao wengi wao wakitoka nje ya mkoa wa Dar es salaam watafikishwa katika kituo kikuu cha Mabasi Magufuli ili kusubiria utaratibu wa kupata nauli za kurejea makwao na wale watakaokaidi watafikishwa mahakamani.
Chanzo: Azam TV
Wewe umeona wapi Kauli Mbiu ya Kampuni ni Salamu ya ''Good Morning' 'na hata mkikutana Mchana Saa 7 au Usiku Saa 1 bado mnatakiwa Kusalimiana hivyo hivyo 'Good Morning' tu?
Kama katika Salamu tu Wameshatudanganya (Kututapeli) katika Salamu hivi huko Kwingineko katika Masuala mazima ya Fedha na Mafanikio watakuwa Wakweli? Eti 'Good Morning' hovyo kabisa.
Na kinachoniuma zaidi ni kwamba Kampuni hii ya Kitapeli ya QNET imedekezwa mno na Serikali na imeumiza pia Watanzania wengi mpaka hata kuharibu Ndoa za Watu.
Acha kutetea utapeli. Network marketing ni utapeli hata huko kwenye nchi tajiri. Sema tajiri akitapeliwa maisha yanaendelea. Lakini kuna tahadhari kibao kuhusu MLM na study kibao jinsi gani ni utapeli.Biashara ya Neteork Marketing ha work kwa nchi masikini lazima ionekane ni utapeli, Qnet kama Qnet wapo sana shida Model yao kwa nchi masikini haofanyo kazi, ni the same na Folever living, GNLD na wengineo, Mfano ilianza GNLD wakashindwa wakaondoka lakini kampuni bado ipo na wana product kibao zinauzwa hata Tanzania na tunazitumia sana kama ile mbolea yao
Pesa tamu, huenda wamemwambia kapige tena ulete.Serikali kwa nini huwa inachelewa sana kuchukua hatua?Yule MR KUKU nae kawapiga hela wananchi kashtakiwa kalipa fine katoka saivi kaanza tena halafu serikali inamuangalia tu
Ni mwanasimba mwenzako lakini'Popoma' kama hilo litaachaje Kutapeliwa Mkuu? Unauliza Mikasi Leba?
[emoji23][emoji23] majibu yako ni yakifara sanaKwa Miguu.
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Laana itawatafuna tuu...cjui hii dhambi mtaitubu wapi?? Mnatuma watoto wa watu wakauze saa Mil 3?!! Tena mtaani!!..wakija shtuka wamepigwa wanachanganyikiwa mpaka barabara ya vumbi wanavushwa na watoto wa chekechea..!!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Qnet ni desi iliyochangamkaNa kwa asilimia 100 Q Net inachochea ufukara...
Hao na desi ni kaka na DadaKuna nyingine inaitwa HELPING HANDS haifai kabisa
Duh, kumbe hata weupe wanatambarizwa [emoji23][emoji23]Acha kutetea utapeli. Network marketing ni utapeli hata huko kwenye nchi tajiri. Sema tajiri akitapeliwa maisha yanaendelea. Lakini kuna tahadhari kibao kuhusu MLM na study kibao jinsi gani ni utapeli.
Kikubwa ni kuna kitu wanaita uwazi na ukweli. Marekani watu walilalamika sana ikabidi Fair Competition Commission yao iwalazimishe makampuni ya MLM kuweka wazi taarifa za mapato ya mbuzi wao.
Ikagundulika kwamba mbuzi wanaokula ni 1% tu. 99% wanaliwa.
niliwahi kukalishwa masaa zaidi ya manne na hawa jamaa pale ilala walipoona sijaelewa somo wakanileta ofisi yao nyingine pale nyuma ya bamaga, nikalishwa maneno nikayatapika yote. Lakini nilikuta walimu kibao wanadanganyana eti unanunua mkufu kwa usd 1900 au water filter, niliwadharau sana.WAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa katika nyumba wanamoishi zoezi linalosimamiwa na Polisi Kata.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbezi Louis amesema vijana hao wengi wao wakitoka nje ya mkoa wa Dar es salaam watafikishwa katika kituo kikuu cha Mabasi Magufuli ili kusubiria utaratibu wa kupata nauli za kurejea makwao na wale watakaokaidi watafikishwa mahakamani.
Chanzo: Azam TV
Wewe umeona wapi Kauli Mbiu ya Kampuni ni Salamu ya ''Good Morning' 'na hata mkikutana Mchana Saa 7 au Usiku Saa 1 bado mnatakiwa Kusalimiana hivyo hivyo 'Good Morning' tu?
Kama katika Salamu tu Wameshatudanganya (Kututapeli) katika Salamu hivi huko Kwingineko katika Masuala mazima ya Fedha na Mafanikio watakuwa Wakweli? Eti 'Good Morning' hovyo kabisa.
Na kinachoniuma zaidi ni kwamba Kampuni hii ya Kitapeli ya QNET imedekezwa mno na Serikali na imeumiza pia Watanzania wengi mpaka hata kuharibu Ndoa za Watu.
Ukizaliwa Dar wewe tayari ni form six.Kumbe mpaka kigwangala ametapeliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu nakuja Bujumbura kesho plz nipe koneksheniKumbe mpaka kigwangala ametapeliwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa matapeli wanafanya utapeli kwa mujibu wa sheria, yaani wanafuta sheria, taratibu na na kanuni zote, hivyo hata kuwafungia haiwezekaniWAATHIRIKA WA AJIRA ZA QNET WAANZA KUREJESHWA MAKWAO: Waathirika wa utapeli unaofanywa kupitia Kampuni ya Biashara ya Mtandao Q Net katika eneo la Mbezi Dar es Salaam wameanza kurejeshwa makwao kupitia operesheni maalumu inayofanywa na ofisi za wenyeviti a serikali za mitaa ikihusisha kuondolewa katika nyumba wanamoishi zoezi linalosimamiwa na Polisi Kata.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbezi Louis amesema vijana hao wengi wao wakitoka nje ya mkoa wa Dar es salaam watafikishwa katika kituo kikuu cha Mabasi Magufuli ili kusubiria utaratibu wa kupata nauli za kurejea makwao na wale watakaokaidi watafikishwa mahakamani.
Chanzo: Azam TV
Wewe umeona wapi Kauli Mbiu ya Kampuni ni Salamu ya ''Good Morning' 'na hata mkikutana Mchana Saa 7 au Usiku Saa 1 bado mnatakiwa Kusalimiana hivyo hivyo 'Good Morning' tu?
Kama katika Salamu tu Wameshatudanganya (Kututapeli) katika Salamu hivi huko Kwingineko katika Masuala mazima ya Fedha na Mafanikio watakuwa Wakweli? Eti 'Good Morning' hovyo kabisa.
Na kinachoniuma zaidi ni kwamba Kampuni hii ya Kitapeli ya QNET imedekezwa mno na Serikali na imeumiza pia Watanzania wengi mpaka hata kuharibu Ndoa za Watu.
Beba kabisa na 'Condoms' za 'Tigo' yako.Mkuu nakuja Bujumbura kesho plz nipe koneksheni