Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

[emoji16][emoji16][emoji16] idea debator, bhana sijui nisemaje ila jamaa wamekomba ma boom ya wanafunzi mbaya mbovu aisee..

Mimi mwenyew wamenila kichwa japo niliweka Tsh 10000=/ kam mtaji..

Sent from my BAC-L21 using JamiiForums mobile app
Na wameliwa wengi juzi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rafiki angu aliambiwa ataenda Maldives, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie full vichekesho.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] idea debator, bhana sijui nisemaje ila jamaa wamekomba ma boom ya wanafunzi mbaya mbovu aisee..

Mimi mwenyew wamenila kichwa japo niliweka Tsh 10000=/ kam mtaji..

Sent from my BAC-L21 using JamiiForums mobile app
Mimi nimewala elfu kumi kunakampuni inaitwa Mafanikio Lone, nilijaribu kuwakopa nikafanikiwa sasa wananipigia simu kila siku nilipe mkopo Yani wananisumbua na mimi siwalipi.
 
Mimi nimewala elfu kumi kunakampuni inaitwa Mafanikio Lone, nilijaribu kuwakopa nikafanikiwa sasa wananipigia simu kila siku nilipe mkopo Yani wananisumbua na mimi siwalipi.
Hata mm wanatapeli kwamba wanakukopesha elfu10 badala yake wanakupa 6 halafu wewe uwalipe 10..Riba ya wapi hiyo? Kwann kwenye app wanakwambia kiwango flani na wanakupa pungufu? Halafu ulipe karibu mara mbili
 
Ila vijana wa dar ni next level hakuna hata mmoja wote wametoka mikoani huko .
 
Laana itawatafuna tuu...cjui hii dhambi mtaitubu wapi?? Mnatuma watoto wa watu wakauze saa Mil 3?!! Tena mtaani!!..wakija shtuka wamepigwa wanachanganyikiwa mpaka barabara ya vumbi wanavushwa na watoto wa chekechea..!!!![emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu kwa bongo hii kweli ukiuza saa ya Milion 3 utaweza kupata wateja kweli?
 

Classic pyramid / Ponzi scheme, well known aa DECI
Asee mkuu niliingalia hii report nilifadhaika sana.Ila nlichogundua wengi karibia 90% wametokea mikoani.

Pia kingine wengi wao mpaka ITV inafika kuwahoji hawajakubali kukiri kama wametapeliwa.

Pia wengi wao wametokea kwenye hali duni lakini wamewalaghai wazazi na ndugu zao mpaka wakapewa zile pesa walizo toa ili kujiunga, mfano kuna binti mmoja katokea manyara alipoulizwa pesa katoa wapi (5M), akasema kawaelekeza wazazi wakauza shamba.
 
nimetoka mbezi kwa msuguri juzi wana kakituo uchwara chao unaambiwa kuna dogo kapigwa 2M ya ada alikuwa akisomea Clinical Medicine huko kwao Shy Town acha huyo kuna mwingine wa Kigoma Alitoka sijui chuo gani kawaletea jamaa mpunga halafu ukiwacheki jamaa kiongozi wa ni kama Mnyarwanda hivi mana kwa nlivyokuwa namuhoji ana lafufh ya kina Kagame hivi ooooooh aseee hawa wan "GOOD MORNING" Sio watu kbsa Halafu mbna hamna vijana wa hapa SDaslama ni wa kuja tu ndio wanawamega

haamna
 
Sijaelewa waanza kurejeshwa makwao walikujaje hapa Dar?
Walidanganywa mkuu kuwa kuna kazi wanaenda pewa ila walipofika Dar wakaishia kufichwa kwenye chumba kimoja mpaka pale mama mmoja muhaya alipokutana nao kisimani
 
Mpuuzi kabisa. Ndio umeandika nini?!
Jinga kabisa😡🤬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…