Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

Tulishawaonyeni sana hapa JamiiForums kuwa hawa 'QNET' ni 'Matapeli' hamkusikia sasa ngojeni 'Wawanyoosheni' ili mkome

Yes bro sikuona kama kuna cha maana, pesa nayoweka na kupata ni ile ile mbayaa zaidi unajikuta we kwenye mzunguko uko mbali wa 21 hukoo[emoji23][emoji23]
Ilinikuta hii 1St yr, 50k kwa week, afu tulikua 20, ko ni m1, mie nikapangwa wa 17, kufika roundas ya 13 mchezo unaanza kusua sua, weee nikadai pesa yangu yote niliyotoa, na niliipata, wengine sijui km walipata yote, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hiyo nauli ya kwenda Fiji au visiwa vingine vya Pacific si mchezo . Kwenda huko uwe na hela ya kutosha. Mtu unatumia zaidi ya masaa 25 kwenda tu, halafu kijinga tu unaambiwa ununue holiday package za huko
Tena kwa 550k, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hela kaliwa tayariii.
 
Biashara ya Neteork Marketing ha work kwa nchi masikini lazima ionekane ni utapeli, Qnet kama Qnet wapo sana shida Model yao kwa nchi masikini haofanyo kazi, ni the same na Folever living, GNLD na wengineo, Mfano ilianza GNLD wakashindwa wakaondoka lakini kampuni bado ipo na wana product kibao zinauzwa hata Tanzania na tunazitumia sana kama ile mbolea yao
Kwanini wakaondoka na pesa za watu wakati wameshindwa?
 
Yale maisha niliyokuwa naishi chuo na vile nilivyokuwa nathamini boom langu

Walinishawishi mpka wakachoka mimi nikuwajibu tu ndio nitajiunga ngoja nipate pesa
 
Ni Good Morning asubuhi, mchana, jioni na usiku wanadai kama kwako ni mchana kuna wengine kwao ni asubuhi maana Q Net imeenea dunia nzima.
 
Back
Top Bottom