Tulishiriki tendo na akaingia period, leo ana mimba. Inawezekanaje?

Chance kubwa ni ya kwako mkuu. Kilichotokea ni light period, ambayo baadhi ya wanawake hupata hata baada ya kutunga mimba. Anyway, linganisha tarehe, then bado una option ya DNA. ..... ila inawezekana
Ni muhimu kwanza jamaa aje atueleze mpenzi wake amemiss hedhi ngapi so far? Kama ni yake na ilitokana na tendo hilo, anatakiwa kuwa amemiss periods mbili May and June, baada ya hiyo period ya April
 
Ushaibiwa hapo n'jomba
 
inawezekana mtu akableed na ana mimba hata miezi mi3
 
Kaka wanaume wengi wa Tanzania wanalea watoto ambao sio wao.. Hio mimba ni ha kwako..
 
Mkuu Kama Baada Ya Kumaliza Period Hujagonga tena Basi itakuwa Umeibiwa Hapo Kuna Kajamaa Pembeni Kajimegea Manzi Wako ikisha unabambikiwa Mtoto!
Sasa Mkuu Hakuna Kuchukuliana Fair Katika Kuibiana! Kwahiyo Nakushauri Haraka Nenda Geto Kamtimue Huyo Demu Akalee Mimba Yake na Huyo Mchizi Aliyempachika Hiyo Mimba.
Mkuu Usichukulie Poa, Usikubali Kuibiwa Kiulaini Hata Siku Moja Wakati Unagharamia Demu.
 
kuna uwezekano mimba ilitungwa kitambo tu,,na inawezekana hiyo damu mliyodhani ni period huenda cyo...maana kuna baadhi ya wanawake huwa wanapata dam inayofanana na period....so take care
 
amemis period moja ambayo ilitakiwa kuanza june wishoni kuelekea july
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…