A
Anonymous
Guest
Tukiwa Watumishi wa NSSF, tulisimamishwa kazi na kisha kufukuzwa kabisa bila Sheria kufuatwa, lakini ajabu ni kwamba wapo wenzetu ambao na wao walikuwa na makosa kaka sisi tuliofukuzwa lakini hawakusimamishwa, wamepata ajira za kudumu.
Sisi tupo nyumbani kwa karibia miaka miwili sasa, tulikuwa tunafanya kazi kwa mikataba lakini kwa lengo la kuajiriwa moja kwa moja kama walivyoajiriwa wengine.
Kilichotokea ni kuwa fitina zimefanyika sisi tukatolewa. Tulikuwa tunafanya kazi Mkoa wa Iringa, wapo walioajiriwa wakati hawana vigezo kwa Mkoa wa Iringa.
Mmoja wao hajasomea kozi ambazo NSSF iliweka wazi kwamba itaajiri watu waliosomea kozi za Uchumi, Uhasibu, Uhifadhi (Social Protection), pia huyo mtu anatuhuma za Rushwa kwa hapa Iringa lakini anatetewa.
Mwingine kapata ajira ya kudumu wakati ana umri wa miaka zaidi ya 45 kinyume na sheria.
Mwingine kapata permanent wakati ana miaka zaidi ya 45, wote hao wapo Iringa.
Serikali ili itusaidie, wapo wengine waliotoka nyuma kupata mikataba lakin wamepata ajira za kudumu.
Waliosimamisha kisha kuondolewa walikuwa Watu wa mikataba waliotazamia kupata ajira za kudum lakini kisheria wameonewa sana.
Kosa ambalo lilitokea mfano, kuna mmoja akaunti yake ilitumika kufungua madai ya mafao kwa hiyo ilitakiwa na yeye asimame na anyimwe kazi lakini ubaguzi umefanyika, tunaomba mtusaidie kuitaarifu Serikali ili Watu hawa wasaidiwe kurudi kazini.