Tulitaka kutengenezewa ukame bwawa la Mtera, tupazeni sauti tukiona ndivyo sivyo

Ndo maana Wabongo ni rahisi sana kudanganywa, kwa sababu HAMSOMI...

Ukisoma taarifa ya TANESCO kuhusu kupungua vina vya maji kwenye mabwawa, hilo Bwawa la Mtera halijatajwa...

Hata wakati Maharage anataja mabwawa yaliyopungua maji, Mtera hakuitaja!!

Matokeo yake, leo hii mnaona kama taarifa ya Meneja wa Bwawa la Mtera ni mpya...

 
Miaka 59 wameshika wanaume nchi mbona ipo ipo. Mpaka leo tunatembeza bakuli.
 
“Kwa kina hiki cha mita 5.76 tunaweza kuzalishha umeme kwa kiwango cha juu cha megawatts 80 kwa miezi saba ijayo hata kama tone moja la mvua halitaingia kwenye bwawa la Mtera”

- Meneja wa Kituo cha kuzalisha umeme Mtera, Elias Mwalupilo[emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
 
Wewe ni mchawi loga basi mvua inyeshe
 
Mungu mchukue makamba na zitto na washenzi wengibe wote wenye nia mbaya na nchi hii.
Unadhani hao ndio chanzo cha matatizo? nauliza hivyo kwa sababu kuna waliona Magufuli ndio chanzo cha matatizo yote wakatamani afe, ila sasa bado wanaendelea kulalama matatizo yanaendelea.
 
CCM wametengeneza uvumi wa kutia hofu na mashaka na sintofahamu, kisha wakaja majibu ya mkanganyiko, wameshaspin, wadanganyika wameshajaa!

Everyday is Saturday................................😎
 
Kama hakuna maji kuna haja gani ya kwenda kuyapiga doria? Sijawahi sikia hii kitu. Huwezi kuyapima kwa macho

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Huyo ni mwanasiasa achana na Siasa kwanza. Aende na mtumbwi au helicopter hiyo achana nayo kwanza.

Je, unaamini sababu ya mgao wa umeme ni upungufu wa maji Kidatu, Kihansi na Pangani kama walivyosema Tanesco?
 
Hii nchi ngumu sana kuongoza, mnaweza kuelewa ni jinsi gani JPM na uelewa wa mambo yanayoendelea.

Kuna namna wenye madaraka wanatakiwa kuwekea pembeni waje wengine tuone wao wanaweza nini, same people kila siku miaka nenda rudi sio sawa.
 
Dah jamaa asingetusanua tulikuwa tunapigwa na kitu kizito kichwani
 
Hizi taarifa zinatakiwa kutoka kwa mameneja wa mabwawa ya umeme na sio kutoka kwa mtu mwingine yeyote, na zaidi ikitoka kwa bodi ya Tanesco iliyowekwa na Makamba ndio haiaminiki kabisa.

Meneja wa Mtera kaongea, hao wengine nani ataamini kama kweli mabwawa yao yana upungufu wa maji ikizingatiwa hii tabia ya kutengeneza migao ya umeme sio mara ya kwanza kulikumba taifa? mameneja ndio wanaotakiwa kutoa hizi taarifa, sio wanasiasa wenye malengo yao ya kuusaka urais.

Narudia tena, Makamba hana credibility yoyote ya kuaminika maneno yake kuhusu mgao wa umeme, amekuwa akitoa majibu ya kujichanganya sana na sababu za kitoto kabisa kukwamisha mradi wa bwawa la Nyerere ili kuhalalisha anachokitaka [mradi wa LNG wa $ 30mil] na bado inasemekana mmeshakodi software ya $ 30 mil..!!

Hamjiulizi kwanini kelele zote Tanesco tu tena baada ya Makamba kuingia huko wizarani?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…