Tulitambiwa kuwa ni mwendo wa Tano Tano, mbona sasa tumeanza na Moko Moko Chamazi?

Tulitambiwa kuwa ni mwendo wa Tano Tano, mbona sasa tumeanza na Moko Moko Chamazi?

Kudadadeki leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
Coffe ya Ethiopia mwaka 1998 waliwatoa Ahly ya Misri wakakutana na Yanga walipigwa goli 6 pale taifa.
Kuna timu.

Pamba ya Mwanza mwaka 1990 iliwapiga Anse-aux-pins goli 12 pale Mwanza kabla ya kwenda ugenini na kushinda 5-0 sasa kwenye Rekodi za kimataifa uko Mbumbumbu fc bado wachanga.

Mbumbumbu fc wanayo rekodi yao ya kujivunia ambayo inawafanya washike nafasi zajuu kule Caf baada ya kutandikwa goli 5 mara mbili mfululizo kutoka katika timu mbili tofauti katika mashindano ya Caf champion league.

Rekodi ya kufungwa goli 10 kwa mechi na timu tofauti mfululizo ni rekodi ya heshima pale msimbazi.
 
Leo Yanga bora kuliko Simba kesho simba bora kuliko Yanga, yote hayo ni kauli za mtu mmoja asiyekuwa na msimamo.

 
We jamaa akili zako sio kabisa.....

Licha ya kufungwa 10 ila waliingia robo fainali

Kipi bora ufungwe 10 uende robo kama simba au usishiriki kabisa kama utopolo?
 
Shida makocha wa timu zoote africa, zikipangiwa kukutana na yanga, wanatenga wiki nzima ya mazoezi ya kupaki basi golini kwao.

Hali hii ndio angalau itawasaidia kufungwa machache, maana hakuna namna ingine zaidi ya kuwapanga hivyo wachezaji wao.
 
We jamaa akili zako sio kabisa.....

Licha ya kufungwa 10 ila waliingia robo fainali

Kipi bora ufungwe 10 uende robo kama simba au usishiriki kabisa kama utopolo?
Mleta bandiko ameongelea rekodi za magoli nasi tumemkubusha rekodi zilivyo mpaka sasa.
Swala la kuingia robo halituhusu ila lenyewelina rekodi zake.
Kwa mujibu wa mwekezaji wa Simba Bwenyenye MO Dewji, Mpaka sasa namaaanisha msimu wa 2022/2923 ametumia bilioni 55 za kitanzania na tumu inaishia robo karibu mara nne mfululizo.

Iyo ni rekodi ya Dunia kwa timu moja kutumia bajeti ya shilingi za kitanzania bilioni 55 na kushindwa kuvuka robo.
Fedha iyo yote anasema aihusiani na shilingi bilioni 20 alizo nunua hisa ya klabu.
Jitihada pekee ambayo Simba wameeonekana wakiwekeza nguvu na kuwalipa, Kitendo cha kua klabu inayo ogopewa kwa ushirikina ikiwa nyumbani au ugenini katika mashindano ya ligi ya vilabu bingwa Barani Afrika.
Kwenye Eneo la shirki/ kuwanga klabu ya Simba wamekosa mpinzani barani Afrika.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa inaonesha yanga ni timu ya kawaida sana.

Simba,azam,namungo. Zimethibitisha hilo.


Simba kamlamba

Azam kafungwa dkk ya 80+

Namungo 86 huko.
Siwapendi utopolo ila hili uiloandika ni kwamba:

Azam- Kafungwa, yaani vyura walishinda
Namungo-Kafungwa, yaani vyura walishinda
 
Mpaka sasa inaonesha yanga ni timu ya kawaida sana.

Simba,azam,namungo. Zimethibitisha hilo.


Simba kamlamba

Azam kafungwa dkk ya 80+

Namungo 86 huko.
Huo ndio ukawaida wenyewe?[emoji1787].

Madrid kafunga goli dk za mwishoni dhidi ya union Berlin uefa.

Basi yanga ni kiwango cha real Madrid.
 
Kudadadeki leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
hatuwezi kuwa yunashinda kila mechi 5 bila,sio hivyo tu bali hatuwezi kushinda kila mechi,tutatoa sare na kuna siku tutafungwa
 
Back
Top Bottom