Tulitambiwa kuwa ni mwendo wa Tano Tano, mbona sasa tumeanza na Moko Moko Chamazi?

Tulitambiwa kuwa ni mwendo wa Tano Tano, mbona sasa tumeanza na Moko Moko Chamazi?

Kudadadeki leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
Mwalimu wako wa hesabu darasa la pili anapaswa kucharazwa viboko! Unashindwa kujumlisha watu wanne walikufa kwa kutolewa kafara na goli moja la uwanjani jumla ni tano!
4 kafara + 1 uwanjani = 5 ✓
 
Mwalimu wako wa hesabu darasa la pili anapaswa kucharazwa viboko! Unashindwa kujumlisha watu wanne walikufa kwa kutolewa kafara na goli moja la uwanjani ni tano!
4 kafara + 1 uwanjani = 5 ✓
Ooh
 
Back
Top Bottom