GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Coffe ya Ethiopia mwaka 1998 waliwatoa Ahly ya Misri wakakutana na Yanga walipigwa goli 6 pale taifa.Kudadadeki leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
Acheni kujishaua, maji yameanza kujitenga na mafutaMkuu, lile ni goli la pole tu. Namungo wamefiwa na mashabiki wao, ulitegemea Yanga tuwaongezee huzuni kwa magoli mengi? Jiongeze...
Ya kwenu yamechanganyika? Tunasubiri tujionee rugby leo ya Simba na Coastal Union...pipa na mfuniko wakeAcheni kujishaua, maji yameanza kujitenga na mafuta
Me pia nashangaa watu wamefiwa halafu tena wapigwe mkono hiyo siyo fair.Mkuu, lile ni goli la pole tu. Namungo wamefiwa na mashabiki wao, ulitegemea Yanga tuwaongezee huzuni kwa magoli mengi? Jiongeze...
Mleta bandiko ameongelea rekodi za magoli nasi tumemkubusha rekodi zilivyo mpaka sasa.We jamaa akili zako sio kabisa.....
Licha ya kufungwa 10 ila waliingia robo fainali
Kipi bora ufungwe 10 uende robo kama simba au usishiriki kabisa kama utopolo?
Kudadadeki leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.
ISMAIL ADEN RAGE ONCE SAID "...."Mpaka sasa inaonesha yanga ni timu ya kawaida sana.
Simba,azam,namungo. Zimethibitisha hilo.
Simba kamlamba
Azam kafungwa dkk ya 80+
Namungo 86 huko.
Siwapendi utopolo ila hili uiloandika ni kwamba:Mpaka sasa inaonesha yanga ni timu ya kawaida sana.
Simba,azam,namungo. Zimethibitisha hilo.
Simba kamlamba
Azam kafungwa dkk ya 80+
Namungo 86 huko.
Mbona povu mzee!Ya kwenu yamechanganyika? Tunasubiri tujionee rugby leo ya Simba na Coastal Union...pipa na mfuniko wake
Huo ndio ukawaida wenyewe?[emoji1787].Mpaka sasa inaonesha yanga ni timu ya kawaida sana.
Simba,azam,namungo. Zimethibitisha hilo.
Simba kamlamba
Azam kafungwa dkk ya 80+
Namungo 86 huko.
hatuwezi kuwa yunashinda kila mechi 5 bila,sio hivyo tu bali hatuwezi kushinda kila mechi,tutatoa sare na kuna siku tutafungwaKudadadeki leo kuna Mtu akiingia tu katika Mfumo wa Wanaoujua Mpira hata CAF Wanawajua wanaweza Kufungwa / Kupigwa hata 6 au 7 na hata 8 kwani wana hiyo Historia ya Kutandikwa idadi hiyo Kubwa ya Magoli.