Watuambie na hela za sensa ya pili zimeenda wapi? Hatujasahau bado -Kila siku ni msiba mpya, kwa staili hii matanga hayatoisha mkuu- hawa watu washatuona wapumbavu.Imeisha iyo tuanue tu tanga, hatuna hakimiliki na ile filamu tujadili tu ya tozo sasa na panyaroad
Watalii walipungua kwasababu ya COVID-19 travel restrictions worldwide. Recently restrictions na COVID 19 zimepungua kama sio kwisha watu walikuwa na hamu ya kusafiri ndio maana watalii na wasafiri wamefurika dunia nzima.Swali lako halina mantiki kabisa. Aliyekuambia lengo ni kurudisha gharama ndani ya miezi sita ni nani? Hata hivyo, husikii taarifa za kufurika kwa watalii huko kaskazini na Zanzibar?
Je wafanyabiashara katika sekta ya utalii hawafaidiki? Hujaona namna waongoza watalii walivyo busy back to back?
Isitoshe, si watu kama wewe waliokuwa wakilalamika kuwa hatutangazi utalii ipasavyo na badala yake Kenya wanatumia fursa?
Ulitaka kifanyike nini ili uridhike? Binadamu ni kiumbe wa ajabu sana yaani. Hajui alitakalo, kazi kulalama tu.
HaHusikii tarifa za kufurika watalii?
Ndo nini we kiazi aka mlamba asali?
Wewe hujapenda tu initiative iliyofanyika kutangaza utalii. Hiyo sbb uliyoitoa iko kihisia zaidi.Watalii walipungua kwasababu ya COVID-19 travel restrictions worldwide. Recently restrictions na COVID 19 zimepungua kama sio kwisha watu walikuwa na hamu ya kusafiri ndio maana watalii na wasafiri wamefurika dunia nzima.
Tusidanganyane ni kwasababu ya royal tour.
Nionyeshe ni ibala ipi kwenye katiba inaniambia ni lazima nimpende Rais,?Wewe kalia kulalama tu, nchi inakwenda. Utakachoambulia ni stress na hatimaye BP kisa chuki zako kwa Samia.
Tuache kuchekea ugonjwa wa kusahau!Imeisha iyo tuanue tu tanga, hatuna hakimiliki na ile filamu tujadili tu ya tozo sasa na panyaroad
Sasa usitutukane sisi tunaokubali mkakati wake wa Royal tour. Kama ulivyo na haki hiyo ya kutomkubali, basi tambua wapo wanaomkubali kama mimi. Huna haki ya kuniita kiazi kwa jambo hilo.Nionyeshe ni ibala ipi kwenye katiba inaniambia ni lazima nimpende Rais,?
Hata sielewi kitu. Hii ni sawa na biashara ya tanesco wanakuuzia nguzo, mita na nyaya badae wanasema mali zao na hutakiwi hata kuzigusa.Mambo ya ajabu sana yaani maudhui yametoka nchini kwetu lakini ili kuyaona inabidi sisi wenye nayo tuyalipie na bado tuliwalipa waliokuja kuyachukua. Wajinga ni sisi.🥲[emoji57]