Mi nilijua umeme ukikatika na gari hazimbei1~ Mi nilijua eti dereva anayeendesha gari kubwa hawezi kupigwa na dereva anayeendesha gari ndogo ikitokea wamepigana.
2~ Nilijua eti unaposikiliza redio basi unaweza kumsemesha mtangazaji na akakusikia.
3~ Nilijua eti zile ngurumo za radi wakati mvua inanyesha au kabla ya mvua kunyesha basi Mungu anahesabu mapipa ya maji.
4~ Nilijua eti ukiweka sindano-rungu kwenye reli basi treni ikipita inaanguka.
5~ Nilikuwaga nadhani eti kama kwa mfano nchi na nchi zimeangukia kwenye machafuko yanayopelekea vita basi ilikuwa unachorwa mstari katikati, upande huu wanasema wanajeshi wa nchi A na upande wa pili wanajeshi wa nchi B, halafu inapigwa filimbi risasi zinaanza kuunguruma [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha channel E, manayoangalizia miziki siku hizi.Hahahahahaha.....hii hii chanel E ya south au
Dah ukiniambia etv ya south unanikumbusha decoder ya strong ilikuwa kama inazingua kuonesha kwako kuna namba fulani unaingiza basi etv inaanza kuoneshaAcha channel E, manayoangalizia miziki siku hizi.
Channel ambayo zamani pekee ndio ilikua inaonyesha mieleka, channel tulio wajulia kina John cena
Dah hii namba 5 imenichekesha sana1~ Mi nilijua eti dereva anayeendesha gari kubwa hawezi kupigwa na dereva anayeendesha gari ndogo ikitokea wamepigana.
2~ Nilijua eti unaposikiliza redio basi unaweza kumsemesha mtangazaji na akakusikia.
3~ Nilijua eti zile ngurumo za radi wakati mvua inanyesha au kabla ya mvua kunyesha basi Mungu anahesabu mapipa ya maji.
4~ Nilijua eti ukiweka sindano-rungu kwenye reli basi treni ikipita inaanguka.
5~ Nilikuwaga nadhani eti kama kwa mfano nchi na nchi zimeangukia kwenye machafuko yanayopelekea vita basi ilikuwa unachorwa mstari katikati, upande huu wanasema wanajeshi wa nchi A na upande wa pili wanajeshi wa nchi B, halafu inapigwa filimbi risasi zinaanza kuunguruma [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah hii namba 5 imenichekesha sana
nimecheka sana kumbe GENERAlI ulikuwa hujielewi kiasi hicho
Nilikuwa najielewa sana mkuunimecheka sana kumbe GENERAlI ulikuwa hujielewi kiasi hicho
Dah ukiniambia etv ya south unanikumbusha decoder ya strong ilikuwa kama inazingua kuonesha kwako kuna namba fulani unaingiza basi etv inaanza kuoneshaView attachment 1459631