Tulivyowaza tukiwa watoto

Tulivyowaza tukiwa watoto

Kuna nesi tulikua nae jirani na hivyo tunashare choo,mambo ya kotaz,,nesi alikuwa mrembo Sana,siku moja tukamuona anaingia chooni,,alipotoka tukawahi chooni eti kuangalia mavi yake yakoje
 
Mimi nilikuwa najua..mtu anaekufa ulaya anazaliwa Africa.
 
Mi nilismini yanga haiwezekani ikaifunga Simba
Nalog off
 
Mi nilismini yanga haiwezekani ikaifunga Simba
Nalog off
 
Back
Top Bottom