osc michael Member Joined Sep 10, 2017 Posts 55 Reaction score 95 May 30, 2020 #21 Mi nilikuwa najua, yeyote anayekaa mjini kafanikiwa kimaisha
SaaMbovu JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 6,027 Reaction score 5,344 May 30, 2020 #22 Samwel massimba said: Me nilikua najua mwanaume ndio anazaa albino Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Samwel massimba said: Me nilikua najua mwanaume ndio anazaa albino Click to expand... [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Gemini Are Forever JF-Expert Member Joined Sep 10, 2019 Posts 1,508 Reaction score 2,619 May 30, 2020 #23 Nilikuwa nashangaa sana, hivi mle kwenye radio watu walikuwa wanaingiaje?
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,205 Reaction score 33,287 May 30, 2020 #24 Kuna nesi tulikua nae jirani na hivyo tunashare choo,mambo ya kotaz,,nesi alikuwa mrembo Sana,siku moja tukamuona anaingia chooni,,alipotoka tukawahi chooni eti kuangalia mavi yake yakoje
Kuna nesi tulikua nae jirani na hivyo tunashare choo,mambo ya kotaz,,nesi alikuwa mrembo Sana,siku moja tukamuona anaingia chooni,,alipotoka tukawahi chooni eti kuangalia mavi yake yakoje
TGMT JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 379 Reaction score 512 May 30, 2020 #25 Kitu kilikua kinanisumbua ni mvua, nilikua nahisi mvua ikinyesha kwetu basi dunia nzima inanyesha. Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kilikua kinanisumbua ni mvua, nilikua nahisi mvua ikinyesha kwetu basi dunia nzima inanyesha. Sent using Jamii Forums mobile app
Beeb JF-Expert Member Joined Aug 18, 2018 Posts 29,394 Reaction score 59,069 May 30, 2020 #26 Mimi nilikuwa najua..mtu anaekufa ulaya anazaliwa Africa.
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 May 31, 2020 #27 Mi nilismini yanga haiwezekani ikaifunga Simba Nalog off
Washawasha JF-Expert Member Joined Aug 7, 2006 Posts 16,717 Reaction score 13,176 May 31, 2020 #28 Mi nilismini yanga haiwezekani ikaifunga Simba Nalog off
Entreprenuare JF-Expert Member Joined Aug 24, 2019 Posts 1,616 Reaction score 1,727 May 31, 2020 #29 Nilikuwa najua mtoto ananunuliwa
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Jun 1, 2020 #30 Kuna Dogo alizingua alisema Arnold anakaa Uganda
miminimkulimaakachekasana JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,263 Reaction score 4,730 Jun 1, 2020 #31 robione said: Namba yenyewe no 6969 Click to expand... Dah mkuu uko vizuri sana mulemule.Dah nimekumbuka kitambo sana
robione said: Namba yenyewe no 6969 Click to expand... Dah mkuu uko vizuri sana mulemule.Dah nimekumbuka kitambo sana